Kesi ya Uhaini: Lissu amalizia majumuisho Mahakamani - 24/9/2026

Naunga mkono hoja yakon %00
Lissu nikama anachezea akili za Wanachama wa Chadema
Kila kitu kaweka wazi kwenye Clip yake ❗️
Lkn wanalia
Kwamba Lissu kaonewa
au kajionea🫎🫎🫎
wanachofanya wanapush agenda ya kumtetea wakijua nn kitatokea, lissu anataka kutumia mbinu za kisheria inaitwa technicality kujinasua, chadema wamejipanga kupush kusema lissu anaonewa wakati wote tunaona kesi inavyoendelea kuwa kuna ushindani sio kama wanavyosema mawakili wa serikali hawana kitu kuna mengi sana lissu mwenyewe anakiri kutoka kwa mawakili wa serikali, utaratibu mzima unafatwa mahakamani kila mtu anajionea lkn wao wanataka kuonesha kuwa anaonewa, wawe watulivu kesi inaendelea majaji wataamua watakavyoona sawa baada ya kusikiliza pande zote 2.
 
ungetulia tu usubiri ujionee
 
Ripoti ya Chande ilimtaja TAL au CHADEMA ndiyo waliosababisha vurugu? Rais wako si alisema wageni ndiyo walioleta vurugu au umesahau? Si alisema kuna vijana walilipwa elfu 5 na elfu 10 kuleta vurugu?
mmejipanga kuhamasishana kuikataa ripoti ya chande unaiongelea ya nn? hukusikia ripoti ya chande imesema kuna vijana walipewa 50,000 wafanye vurugu? wapi chadema ilijitenga na waliokuwa wanahamasisha vurugu? wapi chadema ililaani vitendo vya vurugu? kwa kuwa mliwatuma ndio maana mnawatetea kila siku walipata haki yao hawatarudia tena ujinga wao. Chadema ilikuwa inapokea hela kutoka kwa mange kimambi ili ifanyie nn?
 
..kwanini hakutawanya hayo MABILIONI kwa wanaharakati, na waandamanaji, badala yake akatumia risasi dhidi yao?
Ni swali zuri linalohitaji mjadala.
Kwa kifupi tu labda niseme tu kwamba sababu mojawapo ni kama ile ya kushindwa kuwazuia watu kama Luhaga Mpina kwa kutumia hayo mapesa badala ya kutumia mabavu kuwaondoa hadi wasigombee ubunge tu!
 
Akihukumiwa kunyongwa Rais hatosaini mtaenda kumsalimia jela, yale mavurugu hawezi kujitenga nayo.
hao majaji ni kama umewaajiri wewe, na sheria wanazotumia ni ulizowapa wewe.
Sasa ngoja nikufahamishe kama hujui: Sheria hizi hizi zitakazomwachia Tundu Lissu ndizo hizo hizo zitalakazompeleka jela ya maisjha Samia Suluhu Hassan mhalifu anayejulikana waziwazi kutenda maovu kwa waTanzania.
 
samia anakosa gani mpaka aende jela? lissu aongee hata wiki nzima lkn kazi ya kutafsiri sheria ni ya majaji, kwani mapingamizi mangapi yalipigwa chini?
 

..Ni bora Dpp aombe nolle prosequi.

..Lissu kategua mitego yote, kuanzia ubovu ktk hati ya mashtaka, mpaka mashahidi wa serikali kuchanganyana.

..Shahidi wa 17 wa serikali ametoa ushahidi ambao umevuruga kesi.
 
 
samia anakosa gani mpaka aende jela? lissu aongee hata wiki nzima lkn kazi ya kutafsiri sheria ni ya majaji, kwani mapingamizi mangapi yalipigwa chini?
Kumbe hata hujui aliyesababisha yote haya; kwamba unauliza Samia anakosa gani?
Umefunga kabisa akili yako isiweze kufanya kazi kwa kuamini tu kuwa Samia hana kosa?

Unachojuwa wewe ni kwamba hao majaji kazi yao ni kutafsiri sheria kwa matakwa yako?

Hivi hata hujui kuwa Samia yupo madarakani kwa njia haram?
Ameua watu ili ashike madaraka kwa mabavu?

Sasa subiri siku yake itakapowadia; halafu uje hapa na hizo tafsiri za sheria unazotaka wewe.
 
Huyo mpumbavu ameshapanic na kihoro juu sasa anaomba huruma wakati anabwabwaja alikuwa anafurahisha wafuasi wake. Amechanganyikiwa majaji wamemwacha tu hizo porojo siyo submission. Ht akitoka akirudi anarudishwa ndani huyo Mandela feki. Wapumbavu km Lissu siyo wa kuwachekea wataharibu utulivu wa nchi tukawa km Sudan, Magufulu alishamaliza kazi kiherehere tu cha mwanamke, ndiyo maana tunasema mwanamke hafai kuwa kiongozi wa juu kabisa
 
samia anakosa gani mpaka aende jela? lissu aongee hata wiki nzima lkn kazi ya kutafsiri sheria ni ya majaji, kwani mapingamizi mangapi yalipigwa chini?
wale watu waliambiwa wasilete fujo, lissu na wanaharakati waliwaambia wakachome vituo vya mabasi, wakachome masanduku ya kura, wakachome mabasi na sheli za mafuta, wakaibe mitungi ya gesi, wakachome mgahawa wa shilole, kuna waliochukua gari ya tume wakaendesha huku wanashangilia, waliua polisi wakachukua sare wakavaa, wakawakata wapiga kura vidole, wakachoma vituo vya polisi, wakachoma ofisi za takukuru, wakachoma mahakama wakati haya yote yanafanyika mlikuwa mnashangilia mlitegemea nini? kwa serikali makini iliyoapa kuilinda katiba na askari walioapa kulinda raia na mali zao walichokifanya ilikuwa ni sahihi kabisa maana wangewachekea hali ingekuwa mbaya zaidi na dharau zingezidi, maana walipanga waende wakachome wasafi media na duka la bilnas, walipanga pia wakachome nyumba ya kikwete, wakati yote hayo yanafanyiak twaha mwaipaya wa chadema alikuwa anashangilia je hapo kwann chadema wasiunganishwe na hayo mauaji? tatizo huna akili ya kuchambua uanafata mkumbo, samia rais bora sana kwasasa nchi hii. Fatilia siaisa za mwaka 1995 ndio utajua ubora wa samia nchi hii.
 
Unajidhallilisha mwenyewe kama huwezi hata kujuwa kwamba Samia alitakiwa asikubali kuvuruga huo uchaguzi hata kabla haujaanza.
Unajizima akili huku ukijuwa maovu ya huyo unayemtetea.
Upumbavu ulionao sasa unataka hayo hayo maovu ya Samia ayatumie kutoa hukumu iliyopo mahakamani.

Samia ni mhalifu, na anatakiwa kuwajibika kwa uhalifu wake. Hilo pekee ndilo lililobaki ili taifa hili litulie na liendelee na mipango yake kama kawaida.
 
Lissu Toka mwanzo anatumia techinicality ...na utaona hata vielelezo muhimu kama video, forensic report, pamoja na ile documents za October 29 zilikataliwa Mahakamani

Lakini pia anajitahidi sana kuivunja vunja hati ya mashitaka... Ngoja tuone Katuga atakuja na mbinu Gani.. huko alipo halali kwa msako anaofanya Lissu
 
sawa tumsubiri katuga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…