Kesi ya Uhaini: Lissu amalizia majumuisho Mahakamani - 24/9/2026

Unajidhallilisha mwenyewe kama huwezi hata kujuwa kwamba Samia alitakiwa asikubali kuvuruga huo uchaguzi hata kabla haujaanza.
Unajizima akili huku ukijuwa maovu ya huyo unayemtetea.
Upumbavu ulionao sasa unataka hayo hayo maovu ya Samia ayatumie kutoa hukumu iliyopo mahakamani.

Samia ni mhalifu, na anatakiwa kuwajibika kwa uhalifu wake. Hilo pekee ndilo lililobaki ili taifa hili litulie na liendelee na mipango yake kama kawaida.
Ndio maana mnaonekana wajinga kila sehemu, kwani nyie kusema samia mhalifu mmeanza leo? je mapicha mliyotuma icc kuwa samia mhalifu yamewasaidia nn? hao mawaziri wenu wa marekani sijui maseneta mmewatumia mapicha na kila siku wanatoa matamko yamewasaidia nn? juzi mmeona tanzania imepewa nafasi kusema UN kimewauma sana lkn ndio mjue na mjione wajinga mbele ya dunia, ni kiongozi gani wa nchi angewaacha wale vibaka na wahalifu mliowachochea asiwapige risasi za moto? samia na vyombo vyake alikuwa sahihi kuwatandika risasi wale wahalifu wakome huko walipo, mlipiga kelele sijui icc sijui bunge la ulaya sijui kiko wapi? nchi inakwenda bila shaka. Kila siku mnakuja na maporojo tunawacheki tu wakati wenzenu tunasubiri 2030, mlivyo wajinga mlidhani nchi itasiimama kwa ujinga wenu? mpaka sasa mwezi wa 11 baada ya uchaguzi na nchi inakwenda vizuri. Samia aliapa kulinda katiiba ya nchi hii na ndio kazi anaifanya kwa weledi mkubwa. wanaharakati wenu hawaamini wakiwaona makamo wa rais na mawaziri marekani maana waliwadanganya sijui wamewekewa vikwazo viko wapi?
 
Na ninyi mlivyo wajinga mnamuacha mama yetu mjane anapigwa kumbato na Chivayo.
 
Nilikuita mpumbavu nikijuwa wewe ni mpumbavu hasa.
Wewe bado unasubiri hao uliowataje ndio waje hapa kumwondoa Samia mhalifu?
Wao kawakosea jambo gani hadi waje hapa, wakati kila jitihada anazofanya ni kuwafurahisha wao. Hivi kweli unazo akili kichwani mwako?

Samia mhalifu atawajibishwa na waTanzania wenyewe aliowafanyia uovu.
Kama wewe matumaini yako ni kuwa hao unaotaka wewe waje hapa kumwajibisha, huku akifanya kila juhudi za kuwafurahisha kwa kuwanufaisha na mali za waTanzania, elewa kuwa waTanzania hawawategemei hao.
Samia Mhalifu atawajibishwa na waTanzania wenyewe. Hiyo mitutu anayoitegemea kumlinda yeye itaanza kumwinda na akikaza shingo itamtupa shimoni hata Ukonga asifike.
 
we kweli akili huna, wakati mnawatumia picha hamkujua kama hajawakosea wao? aisee na wewe ni mzazi una watoto au?
inamaana huoni wanaotaka bunge la ulaya liingilie mambo ya watanzania? mjinga sana wewe, watanzania wanampenda samia na serikali yake ndio maana mikutano ya mwigulu inajaa watu hilo nalo linawauma, mliambiwa msusie kazi za wasanini lkn juzi diamond kajaza watu kibao, hufatilii miaka 30 ya bongo fleva, kwani wewe mjinga unawazungumzia watanzania gani?
 
Unajibishana na mimi, halafu unakimbilia habari za hao wengine, hujui kuwa unajionyesha ulivyo mtupu kichwani?
Kwa nini unijibu mimi kama ndio hao wengine.
Umesoma mahali popote tangia uingie humu JF toka Dec. 13, 2011 nikiyazungumzia hayo unayoandika hapa wewe?

Samia na Genge lake watawajibishwa kwa maovu yao na waTanzania wenyewe, na siyo mtu mwingine yeyote.
Hao wote unaowategemea wewe na hao wenzio unaotaka kunihusisha nao wanaweza kuchangia tu kwa kurahisisha kazi ya waTanzania kuwawajibisha waovu nyinyi.

Hamtaepuka, ni lazima muwajibishwe.
 
porojo hizo
 
Back
Top Bottom