Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea leo September 23, 2026 Mahakama Kuu kanda ya Dar es salaam ambapo pande zote za zitawasilisha hoja za majumuisho ya Mwisho (Final Submission).
Hatua hiyo inakuja ikiwa ni baada ya upande wa Jamhuri pamoja na upande wa Lissu kufunga ushahidi kwenye shauri hilo ambalo limedumu Mahakamani Kuu kwa zaidi ya Mwaka mmoja.
Hatua hiyo inakuja ikiwa ni baada ya upande wa Jamhuri pamoja na upande wa Lissu kufunga ushahidi kwenye shauri hilo ambalo limedumu Mahakamani Kuu kwa zaidi ya Mwaka mmoja.