Kesi ya uhaini na kifo cha Komando Tamimu

Kesi ya uhaini na kifo cha Komando Tamimu

Mimi napenda kujua kwa mwenye habari zinazohusu kesi ya uhain ktk miaka ya tisini na kifo cha komando tamimu kilitoke vp mwenye kujua aniabarishe hapa jamvin
Kesi ya uhaini ilikuwa miaka ya 80 sion 90.Jaribio lilifanyika mwaka 1983
 
Na pigo lako litakuja baada ya siku chache na watu watashangilia
Hata wasiposhangilia litakuja tu kama vile wewe litakapokuangamiza walie wasilie utaangamia tu kwa hiyo usitafute lawama kwa mtu haya mambo yapo bila kujali nani analia au nani anacheka.
 
Hata wasiposhangilia litakuja tu kama vile wewe litakapokuangamiza walie wasilie utaangamia tu kwa hiyo usitafute lawama kwa mtu haya mambo yapo bila kujali nani analia au nani anacheka.
Litaanza pigo lako wewe.Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Japo Walimuua Lakini Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Nyerere ALIWALAUMU KULIKOTUKUKA Kwanini Walimtoa UHAI Kwani Kama Sijakosea Huyu Marehemu KOMANDOO TAMIMU Ndiyo Chachu Ya Watanzania Wengi ( Wanajeshi Wetu JWTZ / TPDF ) Kupewa KIPAUMBELE Na UMUHIMU Mkubwa Kwenda Kufanya KOZI Ya UKOMANDOO Kwa Wanaojua Nchini Cuba. Kazi Aliyoifanya TAMIMU Pale Uwanja Wa Ndege Wa Zamani Wakati Rais Fidel Armando Castro Alipotua Na Kumtaka Nyerere AMTAFUTE ASKARI WAKE ANAYEMWAMINI Ili Ampime Ndiyo Ilimfanya Marehemu Komandoo TAMIMU Akubalike Na Apendwe Na Mzee Castro Hadi AKAMWOMBA Nyerere AMPE Afande TAMIMU Tu Kwa MAKUBALIANO MAALUM. Kwa WALIOMJUA Afande KOMANDOO TAMIMU Huyu Jamaa ALIKUWA Ni Zaidi Ya Akina Carlos The Jackal Na Che Guavara Huku Akitaka Kumkaribia FIELD MARSHAL Mwenyewe Rais Mstaafu Wa Cuba Mzee Castro.

Shida yetu hatuna maandishi ya kudumu kuhusu watu hawa. Kwa mfano, Col Mahfudhi!
 
Ndiyo kipindi Hicho alikuwa kitengo cha kupambana na uhalifu wa kivita walikuwa pamoja na Akina Apson ndipo baadae akahama kitengo na kwenda kusoma Sheria hadi leo ni mwanasheria.

Kweli ni mpinzani?
 
Bila ugomvi kusingekuwa na chochote.

Kwa mujibu wa Big Bang Theory ugomvi kati ya negative na positive ndio uliosababisha ulimwengu utokee kutoka kusiko chochote.

Kungekuwa hakuna ugomvi hata wewe usingekuwepo hapa.

Kwa maana mamilioni ya mbegu za kutoka kwa baba yako zilishindana kiugomvi kuchavusha yai la mama yako, mbegu yako ikashinda ugomvi huo.

Zote zingekubaliana kuwa rafiki ziso ugomvi zisingeweza kukuhuisha wewe uwepo hapa leo.

Ugomvi si mbaya, si tatizo.

Tatizo ugomvi mbaya.
aise umenikumbusha the law of struggle and unit of opposite.Mfano kinyume na utelezi ni msuguano au friction.Usingekuwa msuguano wa tairi na ardhi gari lisingetembea hapo ni ugomvi.Kusingekuwa na njaa tusingefanya kazi maana tungekuwa tumeshiba.Asingekuwepo shetani wa kutujaribu mungu angeshindwa kutumpima imani yetu.Newton third law of motion to every action there is an equal and opposite reaction.Wewe unatembea kwasababu kuna force imelingana na uzito wako ndio inakufanya utembee.Ukienda kwenye shimo limefunikwa mkeka utatumbukia sababu force yako ya juu inakuwa kubwa kuliko ya chini hiyo utatumbukia ila ukifika kule shimoni utatulia vile umefika sehemu nguvu umebalance hapo utakuwa umeumia.Ahsante bro kwa point yako
 
Mimi napenda kujua kwa mwenye habari zinazohusu kesi ya uhain ktk miaka ya tisini na kifo cha komando tamimu kilitoke vp mwenye kujua aniabarishe hapa jamvin
Mkuu, hiyo ni miaka ya 80 sio 90, Tamim, uncle Tom na mzee Maganga
 
Huyo aliuawa na kikosi maalum cha kupambana na uhalifu wa kivita kilichokuwa kikiongozwa na kanal Apson na Vijana wake Enzi hizo akina mabere marando wapo fiti na makomandoo waliokuwa usalama wa Taifa, ujue kipindi cha Nyerere Usalama wa Taifa wengi walikuwa wanajeshi wale ngangari shupavu kweli kweli walikuwa wakitumwa kufanya jambo lazima wafanikishe ilikuwa nadra sana kumkosa mtu, hata.Zacharia Hanspope aliponea chupuchupu baada machale kumcheza akabadili njia ya kupita lakini walimdaka kirahisi tu.

Why did Captain Tamimu desert the army? Why was he hiding in Nairobi with Yusuph Lule?
 
Kwa kifupi sana KOMMANDOO CAPTAIN MOHAMED TAMIMU aliuawa na usalama wa taifa kwa kupigwa risasi na mmoja wa maofisa hao aitwaye Mabere Marando kwakuwa alikataa kukamatwa na akarukia kwenye gari ilIyokuwa imebeba creti za bia kisha akaanza kuwapiga nazo nao kwa kujihami wakampiga risasi na akafa palepale

Kwa kifupi sana KOMMANDOO CAPTAIN MOHAMED TAMIMU aliuawa na usalama wa taifa kwa kupigwa risasi na mmoja wa maofisa hao aitwaye Mabere Marando kwakuwa alikataa kukamatwa na akarukia kwenye gari ilIyokuwa imebeba creti za bia kisha akaanza kuwapiga nazo nao kwa kujihami wakampiga risasi na akafa palepale.
Moja ya hizo Chupa zikampasua kichwa Kachero mwingine wa Serikali Aliekuwa akiitwa Lyatonga Mrema na kumpelekea kuvaa bagharashia kama Mwislamu baada ya hapo.Pia ilikuja fanya malori yote ya Breweriess kuwa na askari wenye silahaa muda wote.Tukio hili likitokea maeneo ya barabara ya Kwenda Magomeni kama unatokea Kinondoni (moroko rd
 
Back
Top Bottom