Ndio.Shida ndio hii, watu wakitaka mifumo iwe accountable, tayari inakikbiliwa kesi ya ushoga, as if ndio kesi iliyopo
This is pathetic response
Kuna kesi yoyote amewahi kutetea hao watu? Kama una hizo record pls share
Acha ufala, wakenya wametupita mambo mengi sana. Hao TFF walipotaka kupeleka mawakili Cas waliwachukua wakenya.. Huko duniani vyuo vikiuu/mashule vinavyofundisha kiswahili, walimu ni wakenya wakati kiswahil nyumbami kwake ni tz
Cut the bullshit, kesi iliyopo mahakamani si ya ushoga. Unaimba ushoga as if bongo haupo? Uswahilin huko wamejaaa sana mpaka wana account fb,insta , hadi kwenye harusi wanaalikwa ,halaf unaleta unafki hapa?Ndio.
Martha Karua anasapoti ushoga!
Wabongo hamjui kwamba haya ma human rights huwa yanakuja pamoja kwenye package ????
Martha Karua kama mwanaharakati hawezi kukubalika kwenye duru za kimataifa - Wazungu sana sana - kama hata sapoti haki za vitu mbali mbali kama ushoga.
Ndio.