Nadhani urithi alioachiwa yeye na Wanawe Kutoka kwenye Kampuni ambazo Mengi alishiriki kumiliki Ni Shares zake tuu. Kuna mahali mahakama imejichanganya. Labda kama Hisa hazirithishwi.4. Je hao mashahidi hawakusaini hiyo mirathi ili kuupa nguvu huo wosia?...
Shouga unaniangusha apple punch sio juice ni soda......juice ni vinywaji ambavyo haviwekwi gesi. Mfano Azam embe.Samahani...apple punch wanakunywaga wakubwa?? Mm kinywaj chochote chq juicy za dukan eti zilinishinda ..huwa nahis ladha mbaya ajabu..bora ninywe maji...afu sijui y mie hivyo vijuic naonaga kama vya watoto eti .we mwenyewe wajua soko kubwa ni madent...uzee huu ninywe apple punch? Aku..bora maji
Hapo mambo ya dini hayahusiki.Isitoshe kwa wakristo ,sheria za mirathi Ni zile za serikali.Humu nilishawahi kuuliza je dini ya Mengi inasemaje kuhusu mirathi ya watu wake?? Upo uzi hapa nashindwa kuupandisha
Duh..kweli mimi msukuma jaman😀😀Shouga unaniangusha apple punch sio juice ni soda......juice ni vinywaji ambavyo haviwekwi gesi. Mfano Azam embe.
Cheni feki ,noti feki.mengi hakutaka kumpa kituHii movie aliipanga Mengi mwenyewe.. alishajua Miss Mirathi hana IQ ya kuendesha makampuni zaidi ya watoto wake.
Si unaona hata sasahivi amebaki social media anabwabwaja, wakati watoto wa marehemu wapo busy kuendesha makampuni
Jacky ni mpuuzi na ni mpumbavuSwali la muhimu ni
1. Je Jackline kweli alitaka huo wosia ufatwe 100 % yaani yeye na mapacha wake wachukue Mali zote bila huruma?..
Miss Mirathi angeua makampuni aisee.. bora ameanguikia puaMm watoto wa marehemu nimewavulia kofia aise..wako kimyaa...
Naamini hicho pia.. Mengi yule mzee alikuwa smart sana.. na ndo sababu pia aliupata utajiri wakeCheni feki ,noti feki.mengi hakutaka kumpa kitu
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Moja kati ya mtu hatari zaidi2. Jackline kweli anataka watoto wa Mengi wapewe hizo buku buku kama wosia unavotaka?
Sidhani kama wana akaunti kwenye mitandao ya kijamii. Vinyamkera sisi tukienda kula mlimani na picha zinaseviwa hili laifu hiliMiss Mirathi angeua makampuni aisee.. bora ameanguikia pua
Kama uko above 35 usiguse...hata mimi nitakucheka😂😂😂Samahani...apple punch wanakunywaga wakubwa?? Mm kinywaj chochote chq juicy za dukan eti zilinishinda ..huwa nahis ladha mbaya ajabu..bora ninywe maji...afu sijui y mie hivyo vijuic naonaga kama vya watoto eti .we mwenyewe wajua soko kubwa ni madent...uzee huu ninywe apple punch? Aku..bora maji
Labda wanazo ila wame keep low keySidhani kama wana akaunti kwenye mitandao ya kijamii. Vinyamkera sisi tukienda kula mlimani na picha zinaseviwa hili laifu hili
Am above 45! Bas ndo maana nakishangaaga kumbe!Kama uko above 35 usiguse...hata mimi nitakucheka😂😂😂
Kwa upande wa WALETA MAOMBI; kama haya ndio maelezo waliyotoa mahakamani itoshe kusema "J" anauelewa finyu sana kupelekea kudhani mambo ya Mirathi ni rahisi kiasi hicho.MONDAY MAY 24 2021
Haijawahi kuwa rahisi kwa familia nyingi kumaliza mashauri ya mirathi kwa amani, hata pale inapotokea marehemu alionesha mgawanyo wa mali zake katika wosia aliouacha...
Alama ya dole gumba, inaweza kuwekwa kwa shinikizo la miss mirathi, ukiwa mgonjwa na in love unaweza fanya usichojua hasa kwa umri wake..8. Je kama Dkt Mengi alipatwa na Kiharusi 2016 huo wosia aliusaini vipi au aliweka dole gumba?
9. Na je kama aliweka dole gumba alama zilizomo zinashabihiana na alama sahihi za Dkt Mengi?