8. Je kama Dkt Mengi alipatwa na Kiharusi 2016 huo wosia aliusaini vipi au aliweka dole gumba?
9. Na je kama aliweka dole gumba alama zilizomo zinashabihiana na alama sahihi za Dkt Mengi?
Alama ya dole gumba, inaweza kuwekwa kwa shinikizo la miss mirathi, ukiwa mgonjwa na in love unaweza fanya usichojua hasa kwa umri wake..
swali ni kwann bahasha haikuwa sealed? maana uwezekano wa ku edit kicho andikwa upo, kama pia Marehm aliweka dole gumba kwny empty A4.
pili, Mali alizozichuma Mengi pamoja na Mkewe wa kwanza na kuzaa hao kina Regina na Abdiel kabla ya kukutana na Miss Mirathi, zinawezwaje kugawiwa zote kwa Mama mapacha?
jasho la mama kwanza katika hizo mali liko wapi?
ukichukua chungwa, ukaligawa sehem 3, basi mbili ya tatu, ingeenda kwa mke mkubwa na wanae aliochuma nao, na kisha moja tatu ndiyo angebaki nayo Mengi mwenyewe, na kama anaamua kugawa basi labda ndiyo hiyo tu.
inakuwaje baba anakuwa na mamlaka ya kugawa mali zote za familia, bila kujali mke wake na watoto ambao walizichuma wote? mbona hata mikopo bank baba hawezi kukopea nyumba ya familia bila ridhaa ya mama?
kujikita huku kwa miss mirathi, kwny ishu ya Mali zote kuwa zake, kunatia shaka sana kama ndiyo hicho kilimleta kwa huyo mzee pengine na uhai wake.