Naomba msaada wa kufahamu kama kampuni X inaweza kutuma police kukukamata na kukufungulia kesi ya kuisababishia hasara ikiwa mfanyakazi huyu ameajiliwa na kampuni Y (Yani outsorced from Y na kupelekwa kufanya kazi kwenye kampuni X).
Nimekaa kituo cha police kwa siku 8 naambiwa nimefanya kosa la uhujumu uchumi kwa kusabaisha hasara kwenye kampuni X na mwajili wangu maktaba ulivyoisha hajaniongezea kwa madai kwamba nina kesi ya kujibu na kampuni X hiyo aliyonipeleka kufaifanyia kazi.