Hapo sio sawa economic and organise crime Act IPO very clear na uataribu wa mashitaka pia uliotumika haupo sawaNaomba msaada wa kufahamu kama kampuni X inaweza kutuma police kukukamata na kukufungulia kesi ya kuisababishia hasara ikiwa mfanyakazi huyu ameajiliwa na kampuni Y (Yani outsorced from Y na kupelekwa kufanya kazi kwenye kampuni X).
Nimekaa kituo cha police kwa siku 8 naambiwa nimefanya kosa la uhujumu uchumi kwa kusabaisha hasara kwenye kampuni X na mwajili wangu maktaba ulivyoisha hajaniongezea kwa madai kwamba nina kesi ya kujibu na kampuni X hiyo aliyonipeleka kufaifanyia kazi.
Pole kwa Changamoto,Though sijajua kwa nini kesi yako imekuwa ya Uhujumu uchumi. ila kesi yako inaweza kuwa ni Jinai japo ni vyema ukatafuta Wakili Mapema kwa ajili ya Kuongozwa vyema.Naomba msaada wa kufahamu kama kampuni X inaweza kutuma police kukukamata na kukufungulia kesi ya kuisababishia hasara ikiwa mfanyakazi huyu ameajiliwa na kampuni Y (Yani outsorced from Y na kupelekwa kufanya kazi kwenye kampuni X).
Nimekaa kituo cha police kwa siku 8 naambiwa nimefanya kosa la uhujumu uchumi kwa kusabaisha hasara kwenye kampuni X na mwajili wangu maktaba ulivyoisha hajaniongezea kwa madai kwamba nina kesi ya kujibu na kampuni X hiyo aliyonipeleka kufaifanyia kazi.
SawaInawezekana ulikula njama kuihujumu kampuni kwa makusudi weke full scenario tukupe mwanga
HapanaInawezekana ulikula njama kuihujumu kampuni kwa makusudi weke full scenario tukupe mwanga