Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni mabilionea wakubwa sana africaNa bado siku utasukia mali anazomiliki
1. Saa100
2. JK
3. R. One
4. Makamba Jr
5. Maharagwe
6. Mwigulu
7. Dotto
8. DG wa TRA
9. DG TPA
10. DG wa TRC
11. Governor wa BOT
12. Abdul ( mtoto wa mama Abdul)
Mtadondoka mzimie
Hela ya kawaida kwa mfanyabiashara ila kwa mtumishi kwa mshahara huu tunsoujua ni nyingi sanamali za bilioni 4 mbona kawaida
ivi zile nyumba zilipigwa mnada akataka nunua dr. shika zilikuwa bei gani (m600 hadi 1b)
maana yake ni kumiliki nyumba kama zile 2 na makolokolo mengine
4b ni hela ya kawaida sana
BIla shaka na wewe utakuwa na bilioni kadhaaKabisa mkuu
Kuna mtu wangu wa karibu...alinijuza (jamaa) waliomba wapitishe fedha kwenye account yake halafu yeye anakula 10%.
N.b.ukiona mtu kafa kwenye mazingira ya kutatanisha..jua kawadhulumu "wakulungwa"
Nyie huko chini zikusanyeni lipeni kwa macontro namba zikifika huku juu sisi wachache kazi yetu ni kuzitafuna tu.Alafu kibaya na uzuri huku juu tunatafuna mabilioni mliokusanya na hata kelele hakuna ,na nyie huko chini kuleni za kung'alishia vitatu, passport, airport muone mwano wake.Halafu Pana mipumbavu inawabana watu wasile hata mia wakiteseka usiku kucha wamesacrife usingizi plus risk kibao mionzi,Ac,njaa airport wakusanye ili zikaliwe juu
Bado natafuta mkuu...shukran kwa dua njema🙏🙏🙏BIla shaka na wewe utakuwa na bilioni kadhaa
Wapumbavu kishenzi akipatikana kapoteza hata hamsini hakuna rangi hatoionaNyie huko chini zikusanyeni lipeni kwa macontro namba zikifika huku juu sisi wachache kazi yetu ni kuzitafuna tu.Alafu kibaya na uzuri huku juu tunatafuna mabilioni mliokusanya na hata kelele hakuna ,na nyie huko chini kuleni za kung'alishia vitatu, passport, airport muone mwano wake.
Sana fedha huko za kuchota ni kedekedeSerikalini kuna hela sana kwa viongozi
Fursa za kupiga nyingi sana
Alafu jambo la ajabu, hata wanaorithi wanapigwa na laana hadi wa nashindwa kuziendeleza... Kweli hela za dhuluma sio endelevu kabisaKuna watu wanaila hii nchi,ila uzuri wakifa wanaziacha.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi wa tz uko mikononi mwa watumishi ya umma walio sitafu na kufa nawalio bado makazini mali zawizi walizo kulimbikizia wakipokonywa zitatosha kujenga shule nchi nzima na vio na maji kila shule na kusambaza maji na kujenga kila kijiji kituo cha afiyaChenge aliwahi kusema bilioni moja ni vijisenti mkamjia juu,mama tibaijuka akasema ni hela ya mboga tu mkapaza sauti,sasa hukumu iliyosomwa wiki hii katika kesi ya mirathi inayohusu Dkt. likwelile imeonyesha alikuwa akimiliki mali za bilioni 4.
Aliwahi kuwa katibu mkuu hazina kwa kipindi kifupi ila muda mwingi amekuwa lecturer UDSM.
Kuna watu wanaila hii nchi,ila uzuri wakifa wanaziacha.
Tafuteni hela maisha sio magumu