Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania Bara John Heche tayari wamefika Mahakamani hapo leo, Ijumaa Novemba 28.2025
Ikumbukwe kuwa, Mahakama hiyo leo inatarajiwa kutoa uamuzi wa kesi inayowahusu viongozi na makada kadhaa wa CHADEMA wakiongozwa na Heche, ambao wanadaiwa kudharau amri ya Mahakama Kuu iliyotolewa Juni 10 mwaka huu.
Soma pia
w

- Kesi ya vigogo CHADEMA kukiuka amri ya Mahakama leo Oktoba 28
- Kesi ya viongozi wa CHADEMA kukiuka amri ya Mahakama kusikilizwa tena Oktoba 22, 2025
- Kesi ya vigogo CHADEMA kukiuka amri ya mahakama kusikilizwa kesho Oktoba 15,2025