Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
View attachment 1427874
Kesi hiyo kabambe ambayo baadhi ya wabunge wake walitenguliwa viuno na kuvunjwa vunjwa viungo ili kudhibitiwa imeahirishwa hadi tarehe 23/06/2020 itakapotajwa tena
# Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka na kujifukiza ili kujikinga na Corona
CHADEMA Ni mpango wa Mungu!View attachment 1427874
Kesi hiyo kabambe ambayo baadhi ya wabunge wake walitenguliwa viuno na kuvunjwa vunjwa viungo ili kudhibitiwa imeahirishwa hadi tarehe 23/06/2020 itakapotajwa tena
# Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka na kujifukiza ili kujikinga na Corona
Kesi hiyo kabambe? Ndio inakuwaje? Kumbe walivunjwa na kutenguliwa viuno wakati wakidhibiwa? Walidhibitiwa ili wasifanye nini?View attachment 1427874
Kesi hiyo kabambe ambayo baadhi ya wabunge wake walitenguliwa viuno na kuvunjwa vunjwa viungo ili kudhibitiwa imeahirishwa hadi tarehe 23/06/2020 itakapotajwa tena
# Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka na kujifukiza ili kujikinga na Corona
Yule bwana bila kesi kesi huwa ajisikiiView attachment 1427874
Kesi hiyo kabambe ambayo baadhi ya wabunge wake walitenguliwa viuno na kuvunjwa vunjwa viungo ili kudhibitiwa imeahirishwa hadi tarehe 23/06/2020 itakapotajwa tena
# Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka na kujifukiza ili kujikinga na Corona
Hizi kesi nyingine mpaka zinakera eti kumtorosha [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1427874
Kesi hiyo kabambe ambayo baadhi ya wabunge wake walitenguliwa viuno na kuvunjwa vunjwa viungo ili kudhibitiwa imeahirishwa hadi tarehe 23/06/2020 itakapotajwa tena
# Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka na kujifukiza ili kujikinga na Corona
Siyo kuvunja geti tu , ni KUVUNJA GETI ILI KUMTOROSHA MBOWE .
Karibu sanaKesi hiyo kabambe? Ndio inakuwaje? Kumbe walivunjwa na kutenguliwa viuno wakati wakidhibiwa? Walidhibitiwa ili wasifanye nini?
Ahahahahahahahah! Mkuu kujieleza kunahitaji utulivu ambao mtoa hana! Ahahahahahaha! Ngoja nimnukuu na mimi,"... baadhi ya wabunge wake walitenguliwa viuno na kuvunjwa vunjwa viungo...." Mwisho wa kunukuu. Hivi hapo kwenye picha kuna aliyevunjwavunjwa kiuno?Kesi hiyo kabambe? Ndio inakuwaje? Kumbe walivunjwa na kutenguliwa viuno wakati wakidhibiwa? Walidhibitiwa ili wasifanye nini?
Nikaribie wapi?Karibu sana
jfNikaribie wapi?
''View attachment 1427874
Kesi hiyo kabambe ambayo baadhi ya wabunge wake walitenguliwa viuno na kuvunjwa vunjwa viungo ili kudhibitiwa imeahirishwa hadi tarehe 23/06/2020 itakapotajwa tena
# Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka na kujifukiza ili kujikinga na Corona
Huyu ndio mtukufu DPP Mganga " wakunyumba "''
Kesi ya wabunge wa Chadema ya kuvunja mageti ya gereza la Segerea ili kumtorosha Mbowe''
Kwani si alikwishalipiwa fain ,na mahakama ilitowa kibalicha kuachiwa?
wao walikwena kumchukua na kwenda nae uraiani akiwa huru ?
Sasa hii ya kuvunja geti ilikujaje na kulikuwa na ulazima gani?
MAKONDA BWANA KAZI ANAYO
Hadi aponeHuyo Halima hako kamkono atakaning'inisha hadi lini?
Ahaaa, kumbeee!Huyu ndio mtukufu DPP Mganga " wakunyumba "