Kesi ya wabunge wa CHADEMA ya kuvunja mageti ya gereza la Segerea ili kumtorosha Mbowe yaahirishwa

Kesi ya wabunge wa CHADEMA ya kuvunja mageti ya gereza la Segerea ili kumtorosha Mbowe yaahirishwa

View attachment 1427874

Kesi hiyo kabambe ambayo baadhi ya wabunge wake walitenguliwa viuno na kuvunjwa vunjwa viungo ili kudhibitiwa imeahirishwa hadi tarehe 23/06/2020 itakapotajwa tena

# Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka na kujifukiza ili kujikinga na Corona
Fokonyolewaj la lumumba limefanikiwa kufungua Uzi jf leo.
 
Kumtorosha kivipi wakati fine ililipwa....
sielewi mwenye kujua atufafanulie tafadhali
Kwamba, makamanda walienda kuvunja gereza ili wamtoe na wamfiche Mbowe kwenye kiroba ama mfuko wa sandarusi, kisha wamtoroshe kutoka gerezani, na mwishowe wawe wamikwepa faini ya mahakama.

Ccm hoyeeee!

Zidumu fikra za mwenyekiti wa kyama kya mapinduzi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom