Kesi ya Yanga vs Morisson kusikilizwa

With no doubt, Simba atapokonywa ubingwa.. Pia atapokonywa points ambazo alipata kwenye mechi walizomchezesha Morrison.
Atapokonywa na nani?
Simba anahusika vipi kwenye kesi yenu?
TFF walithibitisha kuwa morrison yupo huru, na usajili wake ulikuwa halali sababu TFF walithibitisha kwamba yupo huru.
Hujui kuwa sheria hizo zinawalinda wachezaji kuendelea kucheza vilabu wavitakavyo wakati kesi zao zikiendelea?
Yanga hatoambulia chochote
 
Morrison akishindwa nadhani simba itapokwa alama ktk Michezo waliomchezesha muhusika na akishinda nadhani itaishia hapo ila akiamua kufungua kesi dhidi ya Yanga ataweza pia.
Atapokonywa na nani?
Shirikisho linalosimamia mpira lilimtangaza kuwa mchezaji huru.
Je ni kosa kumsajili mchezaji aliye huru kama ilivyothibitishwa na TFF?
 
Nami huwa nashangaa! Simba anahusika vipi hapo? Imemsajili akiwa mchezaji huru, kwa uthibitisho wa TFF.
 
Atapokonywa na nani?
Shirikisho linalosimamia mpira lilimtangaza kuwa mchezaji huru
Je ni kosa kumsajili mchezaji aliye huru kama ilivyothibitishwa na TFF?
Yanga hawakubaliani na hio kauli ya TFF ndo maana wakaenda kushtaki FIFA na CAS.... Yanga wanasema bado walikuwa na mkataba na Morisson....
Yanga akishinda, Simba watakuwa na kosa la kumchezesha mchezaji ambaye alikuwa na mkataba na timu nyingine
 
Yanga hawakubaliani na hio kauli ya TFF ndo maana wakaenda kushtaki FIFA na CAS.... Yanga wanasema bado walikuwa na mkataba na Morisson....
Yanga akishinda, Simba watakuwa na kosa la kumchezesha mchezaji ambaye alikuwa na mkataba na timu nyingine
Kosa linatoka wapi na mchezaji alishathibitishwa kuwa yupo huru? Ulitaka asicheze tangia mwaka jana mpaka mwaka huu yanga walipoenda kukata rufaa?
Unajua kuwa kuna sheria zinazolinda haki za wachezaji kutunza viwango vyao?
CAS hawatoi point, TFF atapaswa kumpokonya Simba point, Je TFF hao hao waliosema kwamba yupo huru wana haki ya kumpora mtu point kutokana na maamuzi yao wenyewe?
 
Kosa linatoka wapi na mchezaji alishathibitishwa kuwa yupo huru?
Kwahiyo Yanga ni wajinga wale mpaka kupoteza muda na hii kesi ? Amini nakwambia,, Kuna jambo hapa
Ulitaka asicheze tangia mwaka jana mpaka mwaka huu yanga walipoenda kukata rufaa?
Kwanini asaini mkataba wa Simba ilhali bado ana mkataba na Yanga ?
Je TFF hao hao waliosema kwamba yupo huru wana haki ya kumpora mtu point kutokana na maamuzi yao wenyewe?
Hawana budi, lazima wafate maagizo.... CAS ni kubwa kuliko TFF
 
Nimekuelewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…