Kesi ya Yanga vs Morisson kusikilizwa

Kesi ya Yanga vs Morisson kusikilizwa

Swali kwa wadau hivi kipindi anacheza Champions League inamaana wao CAF huwa hawafatilii issue za mikataba ya wachezaji? Je wao hawakuona kama bado ni mchezaji wa yanga au simba?
Hawafatilii kwa sababu hakuna timu iliyo lalamiko lakin kama ikitokea timu ikalala mika ndo wanafatilia
 
Hakuna kesi ya kijinga hata siku moja,lakini ujinga wa hiyo kesi utaonekana tu pale Yanga watakaposhindwa.Ni kipi haswa kinawafanya mshupalie Simba kupokwa point? Yani Simba achezeshe mchezaji kwa vibali vyote tena halali,Mchezaji huyo huyo acheze hadi CL na CAF wakaridhia,leo uje usubirie Simba kupokwa Point kwa kesi ya Morrison kushindwa (kitu ambacho hakiwezekani).

Yanga jitahidini walau leo mfiche aibu yenu ya kukosa ubingwa mara nne mfululizo.Habari za kusubiri ushindi wa mezani hazipo.Nyie ni Wanaume pambaneni uwanjani mshinde.
Kuna mwaka simba chini ya rage iliifungulia tp mazembe kesi kwa kumchezesha mchezaji asie wao,kama utakumbuka nini kilitokea basi ww ndio wa kuficha ujinga wako
 
Yanga vs morison,ikithibitika morison mchezaji wa Yanga ni kwamba morison ni mchezaji wa Yanga aliekua anacheza simba kimakosa,automatically simba ilikua inamtumia mchezaji asie wa kwao
Hicho kitu hakipo nyie mbaneni tff aliyemsafisha Morison,simba alienda kama mchezaji huru
 
Ume panic bro subir dawa iwaingie

Tuna wachukua mdogo mdogo mkuu kwali wakati kesi ipo TFF Simba wakihusishwa ama hawaja husishwa jibu kaa nalo mkuu
Huwezi kumshumitaki simba ukamwacha tff aliyemsafisha.
 
Kuna mwaka simba chini ya rage iliifungulia tp mazembe kesi kwa kumchezesha mchezaji asie wao,kama utakumbuka nini kilitokea basi ww ndio wa kuficha ujinga wako

Huyo mchezaji scenario yake ilikuwa sawa na hii ya Morrison? hebu toa upumbavu wako hapa.
 
Huyo mchezaji scenario yake ilikuwa sawa na hii ya Morrison? hebu toa upumbavu wako hapa.
Wewe ndio mpumbavu,toka hamna kesi ya morison cas hadi scenario ni tofauti,mtajua hamjui tu,ulimwenguni kote sheria za mchezaji kuchezea timu isiyo yake inajulikana hapa mnajitoa ufahamu tu
 
Kama alisafishwa Yanga ilipoonyesha nia ya kwenda CAS kwanini msingesubiri kesi ya huko iishe ndio mumchezeshe?mkaaminishana ujinga CAS hamna kesi
Sio kazi yetu sisi tulimalizana na tff walipo approve kibali chake cha kufanyia kazi nchini. Na mwenye kesi ni Morison ambae alipokuwa anahitajika alifika na hatimae akashinda,hata huko cas ataitikia wito.
 
Unavyodhani timu zilizowahi kupokwa pointi kwa kuchezesha mchezaji asie wao vyama soka husika vya nchi vilikua havijamuizinisha,sheria ni 1 tu,ukichezesha mchezaji si wako ni kuporwa pointi,sasa mikia mna special gani msiporwe,mlikatia rufaa bukungu kama si mchezaji wa mazembe,na mpk caf walimuidhinisha lakini mlipoenda na ushahidi caf hao hao waliwanyang'anya ushindi mazembe mkapewa mikia
 
Haya mwamuzi ni cas tusubiri tarehe 29
 
Kwahiyo morrison naye ni mjinga? Morisson siyo mjinga mkuu sabab kacheza lig kubwa africa na anajua mpira ni kazi yake
Anajua rungu litakalompata kwa kufanya mambo kama hayo
Kwa nini alipinga kesi irudi TFF CAS wakakataa.
 
Vipi kesi ikipinduka: Morrison mechi za awali wakati anatua Yanga hakua na mkataba itakuaje?

Maana Hanspop aliwahi kuligusia hilo kua Morisson kwenye usajili wa dirisha dogo alichelewa kusajiliwa na alicheza mechi ya kwanza dhidi ya Singida bila mkataba
Kwani nani alishitaki kwa hili
 
Back
Top Bottom