We jamaa jipe moyo tu,nani alisema morison yuko huru,walichosema kuna karatasi haijasainiwa,sasa hiyo paper isiyosainiwa ndio ivunje mkataba,kwa taarifa yako Yanga wana hadi receipt salary ya mshahara aliyochukua morison kupitia mkataba ule alioukataa,na kama utakumbuka morison mwenyewe wakati yuko Yanga alitoa clip kama simba wanamrubuni na wamempa dola 5000 kama zawadi, lakini yeye bado ana mkataba Yanga,from nowhere baadae akaukataa ule mkataba,Yanga ilionewa na shinikizo lilitoka hadi kwa washabiki wa mikia walioko serikalini akiwemo bashite na wengineo kibao walimuhakikishia wao ndio kila kitu nchi hii iwe isiwe atachezea mikia,ile clip morison aliongea kiingereza fasaha na ile clip ipo cas,kitendo tu cha kuongea na mchezaji wa timu nyingine akiwa ndani ya mkataba ni kosa,nyie jiandaeni tu [emoji1787][emoji1787]