Kesi ya Yanga vs Morisson kusikilizwa

Kwahiyo Yanga ni wajinga wale mpaka kupoteza muda na hii kesi ? Amini nakwambia,, Kuna jambo hapa

Kwanini asaini mkataba wa Simba ilhali bado ana mkataba na Yanga ?

Hawana budi, lazima wafate maagizo.... CAS ni kubwa kuliko TFF
Kama alisaini timu 2, kosa ni la mchezaji. Atawalipa fidia Yanga.
 
Atapokonywa na nani?
Shirikisho linalosimamia mpira lilimtangaza kuwa mchezaji huru.
Je ni kosa kumsajili mchezaji aliye huru kama ilivyothibitishwa na TFF?
Unakumbuka QUOTE ya mwisho ya TFF kuhusu mkataba wa Yanga na Morrison walisemaje?
 
Kwahiyo Yanga ni wajinga wale mpaka kupoteza muda na hii kesi ? Amini nakwambia,, Kuna jambo hapa

Kwanini asaini mkataba wa Simba ilhali bado ana mkataba na Yanga ?

Hawana budi, lazima wafate maagizo.... CAS ni kubwa kuliko TFF
Kwahiyo morrison naye ni mjinga? Morisson siyo mjinga mkuu sabab kacheza lig kubwa africa na anajua mpira ni kazi yake
Anajua rungu litakalompata kwa kufanya mambo kama hayo
 
Maelezo ya mwisho ya TFF kuhusu mkataba wa Yanga na Morrison, Unakumbuka walisemaje?
 
Kwani CAS wajibu wao ni kusikiliza kesi pekee au wanahusika na kutoa hukumu? Kama wanahusika na kutoa hukumu basi haiwezekani wapitishe hukumu halafu tff wasitekeleze. Kitu ambacho hakiwezekani. Na mfano Yanga wameshinda kisha hukumu ikatolewa kuwa Simba ipokonywe point kwa michezo waliyomchezesha Morrison Kisha tff wasifanye hivyo basi kitakachofuata ni kesi kufunguliwa na Yanga dhidi ya TFF. Swala zima ni hukumu ya kesi.
 
Atapokonywa na nani?
Shirikisho linalosimamia mpira lilimtangaza kuwa mchezaji huru.
Je ni kosa kumsajili mchezaji aliye huru kama ilivyothibitishwa na TFF?
Rejea hukumu ya TFF hawakusema yupo huru walisema ana mkataba na Yanga wenye mapungufu hivyo wamejilidhisha anaweza kusajiliwa na team nyingine
 
Rejea hukumu ya TFF hawakusema yupo huru walisema ana mkataba na Yanga wenye mapungufu hivyo wamejilidhisha anaweza kusajiliwa na team nyingine
Na mapungufu ya mkataba sio jambo linaloweza kufanya mkataba usiwe halali, kwa mapungufu yaliyo kuwepo mkataba ulikuwa halali kabisa, na TFF wakasahau kwamba Yanga wanaweza kwenda kwenye mamlaka ya juu zaidi
 
Kwahiyo Yanga ni wajinga wale mpaka kupoteza muda na hii kesi ? Amini nakwambia,, Kuna jambo hapa

Kwanini asaini mkataba wa Simba ilhali bado ana mkataba na Yanga ?

Hawana budi, lazima wafate maagizo.... CAS ni kubwa kuliko TFF
1. Yanga wanafanya hivyo kukwepa aibu ya kukosa ubingwa, so watatumia kila mbinu.
2. Alisaini akiwa huru, maana kesi yake ilikuwepo TFF kabla ya league kuisha.
3. Kwamba simba watakubali? Utangaze wewe yupo huru alafu uje unipore tena point?
 
Kesi waliyopeleka yanga ni dhidi ya morrison.
Hivyo wakishinda hiyo kuwa ni mchezaji wao itawabidi kurudi TFF kuishtaki simba kuwa imechezesha mchezaji wao.
Sidhani kama kesi iliyopo kule ni simba kuchezesha mchezaji wa yanga.
 
With no doubt, Simba atapokonywa ubingwa.. Pia atapokonywa points ambazo alipata kwenye mechi walizomchezesha Morrison.
Aisee hizo ni sheria za huko utopolo labda. Mchezaji aidhinishwe TFF, CAF acheze mpaka champs league robo fainali halafu timu isiyohusika na kesi inyanganywe points, ubingwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi hata as vita na wale wasudani watadai points zao [emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Yanga wanafanya hivyo kukwepa aibu ya kukosa ubingwa, so watatumia kila mbinu.
2. Alisaini akiwa huru, maana kesi yake ilikuwepo TFF kabla ya league kuisha.
3. Kwamba simba watakubali? Utangaze wewe yupo huru alafu uje unipore tena point?
Mkuu acha ushabiki zungumzia uhalisia, hukumu haikusema Morrison yupo free ilitoka kwamba ana mkataba wenye mapungufu, angekua huru hata CAS wasinge hangaika na kesi ya kijinga hivyo kumbuka mpka case ipangwe kusiliza hua wana jilidhisha kama kuna hoja za msingi
 
Hata sio kishabiki hapa.....
Mkataba wenye mapungufu means haupo valid, na kama haupo valid means mchezaji yupo huru.
 
AS Vita imenyanywa ubingwa wa Congo kwa kosa gani kama una fatilia mpira, kipindi kile Mazembe aliondolewa akapewa ushindi Simba haikua champions league? Ujinga ni mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…