Usijitoe akili dada mdogo hivi nafasi ya mwenyekiti wa CCM,hata iliyokuwa Tanu wenyeviti waligombea na nani leo hii Mangula yupo channel ten analalamika sana kuhusu waasi wa CCM wanaotaka kupora madaraka sasa demokrasia gani ya CCM unayoiota
nyie ndo mbulula kweli, hajakataa vikao visifanyike ila amekataa swala lake kujadiliwa na kamati ambayo maamzi yake ya kumvua uanachama aliyakatia rufaa
kwa hiyo cc waamue kwanza rufaa yake ndipo kamati kuu iendelee na utaratibu wake. nashangaa wanaojiita wasomi mnafuata mkumbo hata kama mtu mnamchukia ni vzr mkawa makini na hoja dhaifu kama hizi.