Kesi za kumtukana Rais zinaongezeka, kuna njia rahisi ya kumaliza tatizo

Wewe ngoja nimpigie Donald Trump atume wale jamaa wanaotaka kupima akili zake wàanze na wewe wakati yale madawa yakiwa bado hayajaghushiwa. Utakuwa na ma tatizo makubwa kwenye ubongo wako. Tena ninadhani ni fungus
 
Una uhakika na unachokinena? Really?
 
Of course kutukana mtu yeyote Siyo tu ni kosa bali pia ni dhambi. Nilidhani mleta mada angesema kumkosoa lakini kutukana siyo
 
Mbona yeye aliita watu vilaza??
Soln
KUACHA KUTUKANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…