JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Kama wewe ni mfuatiliaji wa taarifa za habari utagundua kwamba kati ya December 2021 na January 2022 kunaongezeko kubwa sana la mauwaji linaendelea hapa nchini na serikali iko kimya kabisa kama vile haijui.
Mauwaji yamekithiri sana kila kona ya nchi. Kuna keshi ya watu kutekwa na kunyofolewa figo. mauwaji ya wanafamilia. watu kujinyonga wenyewe, kunyongwa. watu kupotea kusiko julikana. watu kuvamiwa usiku na kuuwawa. Watu kuuwawa na kutelekezwa mitaloni.
Sambamba na hilo kuna wimbi la wizi limeongezeka sana; Wengi wanadai ni kwa sababu ya ugumu wa maisha na ulinzi hafifu. Maeneo yenye matukio ya wizi kwa sana ni Dar es Salaam na Tanga. Aina ya wizi unaotokea ni kukaba watu hasa mida ya giza, kuvamia majumbani na kupora vitu kama pesa, TV, Simu na kuua; Wizi wa mifugo na mazao. Wizi wa vifaa vya magari.
Serikali chukueni hatua hasa kipindi hiki cha mvua zinazonyesha.