Ndugu mtoa mada naomba urejee signature yako kama tunatakiwa kufanya mapenzi baada ya ndoa kwa nini tunabalehe kabla ya ndoa?Na hao wanafunzi wanaopewa mimba nao wanakuwa tayari kwa tendo na wanalitaka hasa lakini sheria tu inawabana.Ilishanitokea siku moja katoto kametoka shule kakanipita kwa dharau nikakauliza kwa upole tu binti umekua siku hizi?Nako bila aibu kakanijibu sijakua ila naweza,nikashituka hee!Unaweza nini?Kakanijibu chochote unachopata kwa mwanamke.Sasa kwa mtindo huo vitaachaje kubebeshwa mimba wakati vinajirahisisha.
Sio kwamba nawafagilia wanaowatia mimba,la.Ninasisitiza wapewe adhabu kubwa na hata iongezwe iwe miaka 60.kumtia mimba mwanafunzi ni aibu kubwa.Ina maana kwako wewe kondom ni msamiati wa kigeni na hata usipotumia kondom unapofikia mwisho chomoa basi umwage chini ,mimba itatoka wapi?Wengi wao wanajitafutia tu kama wewe uko makini utawalamba wanafunzi na hata ya kusingiziwa hutakuwa nayo