HAKI HAIPOTE Member Joined Aug 3, 2017 Posts 54 Reaction score 41 Sep 15, 2017 #1 Ndg wanabodi kumekuwa na mfuatano wa kesi nyingi kuanzishwa na serikali na mwisho wa siku kukosa ushaidi je vyombo husika vina ubora ufaao/?. Rejea kesi ya Mr masamaki ,Manji na sare za jeshi na hatimaye leo Mchungaji gwajima.
Ndg wanabodi kumekuwa na mfuatano wa kesi nyingi kuanzishwa na serikali na mwisho wa siku kukosa ushaidi je vyombo husika vina ubora ufaao/?. Rejea kesi ya Mr masamaki ,Manji na sare za jeshi na hatimaye leo Mchungaji gwajima.