HAKI HAIPOTE
Member
- Aug 3, 2017
- 54
- 41
Ndg wanabodi kumekuwa na mfuatano wa kesi nyingi kuanzishwa na serikali na mwisho wa siku kukosa ushaidi je vyombo husika vina ubora ufaao/?. Rejea kesi ya Mr masamaki ,Manji na sare za jeshi na hatimaye leo Mchungaji gwajima.