Kessi acha kumpiga kipapai Kapombe

Kessi acha kumpiga kipapai Kapombe

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
616
Reaction score
853
Wewe bwana mdogo tumekuvumila siku nyingi sasa inatosha

Kama Namba ya Taifa stars kapombe yupo tayari kustaafu akuachie ila acha kumpiga kipapai mwenzako anafamilia inamtegemea

Nyie mmetoka academy moja pale Moro uache ujinga

Acha kapombe acheze mpira kwanza hampo club moja

Ukiendelea tutakutafutia mganga na wewe tukumalize uwe mzigo uwanjani

Ni Mimi mdau wa michezo
 
Visingizio tu hamna lolote,
Kamlogaje sasa,,yani kamloga kocha asimpange au kamloga akiwa uwanjani asipewe pasi na wenzie,fafanua uwo ulozi,?
 
Wewe bwana mdogo tumekuvumila siku nyingi sasa inatosha
Kama Namba ya Taifa stars kapombe yupo tayari kustaafu akuachie ila acha kumpiga kipapai mwenzako anafamilia inamtegemea
Nyie mmetoka academy moja pale Moro uache ujinga
Acha kapombe acheze mpira kwanza hampo club moja

Ukiendelea tutakutafutia mganga na wewe tukumalize uwe mzigo uwanjani

Ni Mimi mdau wa michezo
Kapombe halogwi na yeyote ila mwiliwake hauwez kuhimili vishindo yupo Philip John, Abuu diab n.k hao wachezaji wana asili ya kuumia marakwamara.
 
Nimecheeeeeka nikajaribu kuuunganisha Dots lkn zimegoma
 
Wewe bwana mdogo tumekuvumila siku nyingi sasa inatosha
Kama Namba ya Taifa stars kapombe yupo tayari kustaafu akuachie ila acha kumpiga kipapai mwenzako anafamilia inamtegemea
Nyie mmetoka academy moja pale Moro uache ujinga
Acha kapombe acheze mpira kwanza hampo club moja

Ukiendelea tutakutafutia mganga na wewe tukumalize uwe mzigo uwanjani

Ni Mimi mdau wa michezo
Wewe unaweza ukawa ni mmoja kati ya waasisi wa Mwenge wa CCM unaotupumbaza hadi leo!
 
Mipgie namba kwa namba nilizokupatia jana, hapa ujumbe utofika kwake.
 
Wewe bwana mdogo tumekuvumila siku nyingi sasa inatosha
Kama Namba ya Taifa stars kapombe yupo tayari kustaafu akuachie ila acha kumpiga kipapai mwenzako anafamilia inamtegemea
Nyie mmetoka academy moja pale Moro uache ujinga
Acha kapombe acheze mpira kwanza hampo club moja

Ukiendelea tutakutafutia mganga na wewe tukumalize uwe mzigo uwanjani

Ni Mimi mdau wa michezo

Wabongo tunaamini sana vitu vya hovyo, Ndio maana hatuendelei.
.

Tujifunze kwa wenzetu walioendelea.
 
Ea
Wewe bwana mdogo tumekuvumila siku nyingi sasa inatosha
Kama Namba ya Taifa stars kapombe yupo tayari kustaafu akuachie ila acha kumpiga kipapai mwenzako anafamilia inamtegemea
Nyie mmetoka academy moja pale Moro uache ujinga
Acha kapombe acheze mpira kwanza hampo club moja

Ukiendelea tutakutafutia mganga na wewe tukumalize uwe mzigo uwanjani

Ni Mimi mdau wa michezo
Naona umeamua kujitangaza ya kuwa wewe ni mshirikina no. 01 wa club ya Simba. Kuwa makini lakini, maana kama kamuweza Kapombe wewe hakushindwi mkuu, shauri yako.
 
Viblanketi vya yule muarabu kwani yoga..wachezaji hawako timamu..wakimbizwe kuzunguka uwanja Mara mia daily...
 
Daa kweli dunia ina mambo. Yaani soka letu kuendelea itakuwa shida sana kwa sababu ya imani za kishirikina. Kapombe ni aina ya wachezaji ambao miili yao huwa inapata majeraha mara kwa mara na wapo wengi tu duniani. Kimsingi Simba inatakiwa kuwa na hata mabeki wawili wa kulia baada ya Kapombe. Kwa timu zenye uelewa Kapombe angekuwa anacheza mechi za mashindano mbili au tatu kwa mwezi yaani kila baada ya siku 10 au 15. Lakini Simba wanataka wamchezeshe kila week end. Akiumia kidogo anakaa nje miezi. Sasa Kessy hapo anahusika vipi na majeraha ya Kapombe?
 
Soka la bongo misumari ipo kama kawaida ila sio vyema kumnyooshea kidole mtu bila kuwa na ushahidi!! Hata Kindoki kuna watu walimwambia anakosa kujiamini na kufungwa magoli mepesi sbb ya yule kipa mwenzake!! Tambwe nae majeraha ya msimu ule walimwambia ni yule striker mwenzie anammaliza!! Tusubiri kusikia kwa Kwasi nae atasema nini😀😀
 
Wewe bwana mdogo tumekuvumila siku nyingi sasa inatosha
Kama Namba ya Taifa stars kapombe yupo tayari kustaafu akuachie ila acha kumpiga kipapai mwenzako anafamilia inamtegemea
Nyie mmetoka academy moja pale Moro uache ujinga
Acha kapombe acheze mpira kwanza hampo club moja

Ukiendelea tutakutafutia mganga na wewe tukumalize uwe mzigo uwanjani

Ni Mimi mdau wa michezo

Nashangaa moderator kwanini hauondoi uzi huu huu...
 
Hayo maneno yanawatoka mikia baada ya jitihada zao za kutaka kumsajili kessy kushindwa,watu wengi wa mpira walimshauri dogo aangalie alipoangukia juma luizio baada ya kusajiliwa mikia kutokea zesco!
 
Back
Top Bottom