nimeona asante,Nmeshaitoa mbona.
Mm nmepungua mpk sasa nmeamua kuacha kwanza diet nisije kukosa hata kalio la kukaa
nimeona asante,
kwahiyo hiyo diet unapungua kila kitu sio tumbo tu?
Nilijua K vant utaikataza kumbe yenyewe fresh tuNahisi mnatafuta vidonda vya tumbo.
kuna mdada ninapofanyia kibarua kila siku anabadilisha mimaji ya sijui:-
Hiliki
Mdalasini
Mara matango
Mara diet
Mara malimao ajikondeshe lakini waaapi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] anaendelea kuwa chibonge [emoji1][emoji1][emoji1] nidhamu ya kula hana atapunguaje??
Achaneni na hiyo midawa fanyeni mazoezi ya mepesi ya kukimbia kwa dk 20 huku umevaa jaketi siyo kawoshi wala singlendi ili mwili uvuje jasho la kutosha na kunywa maji ya mengi. Kula vyakula vyenye wanga kigodo na matunda mengi.
Menu ya mchana kama unafanya kazi ofisini kula matunda tu na maji mengi, usiku wanga kidogo na mbogamboga au white meat (kidongo) achana na bia, soda na juisi za viwandani ila vinywaji vikali ruksa kama ni lazima saaana
matokeo ni baada ya wiki 3 hadi 4,
Usisahau kikombe kimoja cha maji ya moto yenye limao kila asubuhi.
Nilijua K vant utaikataza kumbe yenyewe fresh tu
Nmeshaitoa mbona.
Mm nmepungua mpk sasa nmeamua kuacha kwanza diet nisije kukosa hata kalio la kukaa
Aiiii, Mwanamke kalio shoshti wala sio nyonga !!!,[emoji16][emoji16]
hiyo ni kusema acha wanga wote na acha sukari zote, ni rahisi sana japo huwa watu huisi aiwezekani hiyo nimeona na nimeipata kwa bwana BOAZ MKUMBO na wengi wamepata matokeo makubwa na si katika uzito na vitambi tuu bali katika magonjwa yote ya lishe.Kuna nyingine unakula kuku, samaki au mayai ya kuchemsha pamoja na salad 🥗 kwa lunch na dinner.
Breakfast ndizi mvivu moja na mayai mawili ya kuchemsha.
Maji ni muhimu.
zote hizo unapeleka wapi mkuu, na hulemewiiii ha haaa una urefu gani, umri gani?Wenye kilo 95 tucoment wapi
Niliacha kutumia
-Soda/vinywaji vyote vya kiwandani
-Vitu vyote vinavyotengenezwa na ngano
-Wali
-juice yoyote ya matunda ya kutengeneza
-Vitu vyenye sukari nyingi (hii haikunisumbua maana hata mimi sivipendi)
Asubui nakunywa maziwa tu
Mchana nakula mboga za majani na ugali kidogo/Nyama ya kuku maana ya Ng'ombe pia niliiacha/Samaki
-Katika mboga siweki mafuta mengi
Usiku nakula Tango,Parachichi nalala
Katika kutwa yangu nzima lazima Maji lita2, machungwa mawili
Week1 tumbo lote likaisha .. nikivaa sasa hivi nakua kama nmevaa mkanda wa kubana tumbo
Toka kilo 70 mpk 62 now, najiskia mwepesi ajabu
Umetuokoa wengi, nina kilo 20 za kuziondoa ngoja nifanye hii mpaka Dec natumai zitakua zimetoka.Niliacha kutumia
-Soda/vinywaji vyote vya kiwandani
-Vitu vyote vinavyotengenezwa na ngano
-Wali
-juice yoyote ya matunda ya kutengeneza
-Vitu vyenye sukari nyingi (hii haikunisumbua maana hata mimi sivipendi)
Asubui nakunywa maziwa tu
Mchana nakula mboga za majani na ugali kidogo/Nyama ya kuku maana ya Ng'ombe pia niliiacha/Samaki
-Katika mboga siweki mafuta mengi
Usiku nakula Tango,Parachichi nalala
Katika kutwa yangu nzima lazima Maji lita2, machungwa mawili
Week1 tumbo lote likaisha .. nikivaa sasa hivi nakua kama nmevaa mkanda wa kubana tumbo
Toka kilo 70 mpk 62 now, najiskia mwepesi ajabu
Umetuokoa wengi, nina kilo 20 za kuziondoa ngoja nifanye hii mpaka Dec natumai zitakua zimetoka.
Siamini katika hili kbs;Hii ndiyo habari ya mjini, mlioijaribu tuelezeni matokeo.
View attachment 1144865
Kumbe Mapepekale mupo wengi
ukiwa serious december haifikiUmetuokoa wengi, nina kilo 20 za kuziondoa ngoja nifanye hii mpaka Dec natumai zitakua zimetoka.
Nimeanza leo nitaleta mrejesho kwenye uzi huu huu.ukiwa serious december haifiki
Pole sana jitahidi kupata mda wa kutembea tu angalau dk 30 kwa siku utakuwa sawa kabisaStress huwa zibanipa challenge sana. Nikiwa na stress ninakula na kunywa mpaka msala uishe ninajikuta niko kwenye 88-90 kg mbaya zaidi BP inakuwa juu lakini nikishuka kwenye 75-80 BP is normal.
Nimeanza leo nitaleta mrejesho kwenye uzi huu huu.
Labda wameishia njiani.... ka njaa kanauma ila tumbo nalisikia jepesiikila la kheir
wengine walisema wataleta mrejesho mashangaa kimya
Mrejesho nimetoa kilo 5 ndani ya wiki mbilikila la kheir
wengine walisema wataleta mrejesho mashangaa kimya