Kevin De Bruyne: Mpishi wa mabao ya Man City EPL asiyeimbwa

De Bruyne anawafanya viungo wa Arsenal hapa waonekane kama hawajui chochote!
 
jesus = yesu..

gabriel yesu atakuja kuwa mchezaji mzuri sana siku za usoni. ila asifuate nyendo za wakina robinho na elano...

Anaonekana kama yuko more serious and very committed than robinho and elano. Atafika mbali sana huyu baada ya miaka miwili, mitatu.

KDB n kiungo kizuri na anaujua mpira vizuri. Hapa akiongelea tactics
 
KVB anatisha ndio maana toure benchi mtoto mzuri sana, city kombe lao bila ubishi
 
Na humasikii kwenye top 3 ya fifa afu tuseme fifa wako fair hapana kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…