Android
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 970
- 1,209
Acha kubet mkuuMbona unawashwa washwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kubet mkuuMbona unawashwa washwa?
Maana England huyu mnyama amekuwa tishio kiongozi
Ni mnyama uyo albno mashine
jesus = yesu..Ati YESU ????????[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wabrazil wakienda ulaya wanachanganyikiwa na maisha( starehe)jesus = yesu..
gabriel yesu atakuja kuwa mchezaji mzuri sana siku za usoni. ila asifuate nyendo za wakina robinho na elano...
Wabrazil wakienda ulaya wanachanganyikiwa na maisha( starehe)
Hope itakuwa ni assist yake ya 13 sasa iliyozaa matunda mubashara.KDB kashafanya yake huko dhidi ya Napoli
ni wakati wakeKDB anastahili kuwa shortlisted kwenye ballon d'or
jesus = yesu..
gabriel yesu atakuja kuwa mchezaji mzuri sana siku za usoni. ila asifuate nyendo za wakina robinho na elano...
muda lazima umri na ugonjwamuda utaamua