FiFA wale si kitengo cha biashara tu wanapewa maelekezo tu nani awe mchezaji bora ndio maana kila siki utawaona hao wawili tu mpaka tumechoka. Kuna wachezaji walikuwa ni balaa kama Xavi eti hajawahi kuwa mchezaji bora duniani pamoja na kuifanya Spain kuwa bingwa wa dunia na ulaya na pia kuifanya midfield ile ya Barca kuwa moto yeye na Iniesta.