George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Nilijua huu Uzi umeuchapisha Jana...
Kumbe upo humu tangu October..!
Hakika wewe ni mpenzi wa soka..!!!
Kumbe upo humu tangu October..!
Hakika wewe ni mpenzi wa soka..!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FiFA wale si kitengo cha biashara tu wanapewa maelekezo tu nani awe mchezaji bora ndio maana kila siki utawaona hao wawili tu mpaka tumechoka. Kuna wachezaji walikuwa ni balaa kama Xavi eti hajawahi kuwa mchezaji bora duniani pamoja na kuifanya Spain kuwa bingwa wa dunia na ulaya na pia kuifanya midfield ile ya Barca kuwa moto yeye na Iniesta.Na humasikii kwenye top 3 ya fifa afu tuseme fifa wako fair hapana kabisa