Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
- #21
na zile nywele zenye bleach mkuuJina Bakayoko ndo lililosajiliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na zile nywele zenye bleach mkuuJina Bakayoko ndo lililosajiliwa.
Yupo palepale Man City na hata leo alicheza akitokea benchihv yaya toure yuko wapi Wakuu?
ile pasi iliyopita katika uchochoro wa mabeki hadi kwa yesu haikuwa ya kawaida. Ni kwa namna gani aliweza kumuona yesu katika nafasi ile...kama pasi za leo dhidi ya Stoke city
ile pasi kwasasa wanaweza wakapiga viungo wachache sana kama Toni Kroos, Modric au Adrien Rabiot.ile pasi iliyopita katika uchochoro wa mabeki hadi kwa yesu haikuwa ya kawaida. Ni kwa namna gani aliweza kumuona yesu katika nafasi ile...
Salute KDB..
Usajili wa Bakayoko na Matic hautofautiani na usajili wa Niyonzima na Ajib ( Yaani unauza Bunduki unanunua Panga)Bakayoko ni mzigo mwingine
Wewe ndio mshikaji wa hapa kimara unamuitaga Haji Manara?Mie namuita Haji Manara [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeah huyu kijana anasakata kabumbu kinoma.Bila shaka huyu ni kiungo mchezeshaji bora kwasasa katika EPL, huyu jamaa ndio injini ya Man City katika mabao.
Mpaka leo nashangaa ni kwanini Chelsea walikubali kumuuza kirahisi.
Kevin De Bruyne (KDB) anajua kupiga pasi za mwisho zenye macho kwenda kwa akina Aguero na Gabriel Jesus ambao kazi yao ya kupachika mabao inakuwa rahisi. Pia anajua sana kuanzisha mashambulizi ya hatari kwenda kwenye lango la adui.
KDB ndio injini ya mashambulizi katika kikosi cha Pep Guardiola kama ilivyokuwa kwa Xavi wakati Pep akiwa Barcelona. Kwasasa kama utacheza na Man City basi mtu wa kwanza kumchunga ni KDB vinginevyo utajitafutia matatizo .
Tuache unazi, tuache ushabiki ni wakati sasa wa kutambua mchango wa KDB kama mmoja ya viungo bora EPL kama si Ulaya nzima.
Hapana, siyeWewe ndio mshikaji wa hapa kimara unamuitaga Haji Manara?
Labile media zinambeba sanaYeah huyu kijana anasakata kabumbu kinoma.
Afu hata hazungumziwi kivile kama kina Labile n.k
Umemaliza kila kitu mkuuhuyu alikuwa mchezaji bora wa mwaka pale ujerumani baada ya kutokea pale darajani mimi nafurahi sana huyu mchezaji akipangwa namba 10 ni hatari lakini pep anampanga katikati duu naumia sana anavitu vya kutisha halafu anakitu cha ziada yaani miguu yote ni balaaa
Huwa hana maneno, yeye miguu yake ndio huongea!De Bruyne jamaa fundi sana.. Huwa sichoki kumtazama na kumfuatilia..
Ananifurahishaga huyu fundi wa kiBelgiji jinsi anavyokuwaga mwekundu baada ya mechi!!!
Angalia avatar na uzee wako wote huo unabet ??kama Chelsea alivyofanya leo, katuchania mikeka
Huku kwetu tunamwita Ndanda KosovoNahisi Bakayoko nae alikuwa kabet ushindi wa Crystal Palace. Leo hovyo kabisa. It is beyond me how huyu eti ndo replacement ya Matic.
hv yaya toure yuko wapi Wakuu?