Kama mchumba wangu alithubutu kunipokonya pete ya uchumba aliyoninunulia na kunivesha, ataachaje kuninyng'anyang'a pichu au bra alizoninunulia?
Wanaume zetu stress tupu.
Ila kwa huyu
TANMO wangu....nahisi nimefika.
TANMO please usiwe kama wanaume wa kibongo