Kevin Hart amnunulia Ex-Wife wake 2015 New Escalade siku ya Birthday yake

Kevin Hart amnunulia Ex-Wife wake 2015 New Escalade siku ya Birthday yake

Kama mchumba wangu alithubutu kunipokonya pete ya uchumba aliyoninunulia na kunivesha, ataachaje kuninyng'anyang'a pichu au bra alizoninunulia?
Wanaume zetu stress tupu.
Ila kwa huyu TANMO wangu....nahisi nimefika.
TANMO please usiwe kama wanaume wa kibongo

Hahahaaaa acha matusi kwa wanaume,hicho kivulana kilikupa stress afu unatuchafua wanaume
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom