Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I love Hart and i dont think anatakiwa awe judged....Huwezi jua nini kilitokea huko ndoani....kwa kusikiliza one sided story inakuwa sio fair....I have always loved Hart,bt the story with his ex wife js shows how money changes some men,sad..
Heard from the ex wife,he been cheating on her with Eniko alivoanza kuwa star vikamnogea akaona adivorce tu,I love Hart and i dont think anatakiwa awe judged....Huwezi jua nini kilitokea huko ndoani....kwa kusikiliza one sided story inakuwa sio fair....
Sasa unadhani ni pesa ndo imemchange for the bad? Just because mkewe alikuwa nae enzi hana pesa ndo amgande hata kama anaona relationship haiwork tena? Sidhani kama ukiachana na mtu inakufanya uwe bad. Aliona hayuko happy tena na kampata wa kufanana nae.Heard from the ex wife,he been cheating on her with Eniko alivoanza kuwa star vikamnogea akaona adivorce tu,
Majuzi kamnunulia ex wife escalade kwenye birthday yake naona km ni mtu flani bado anafeel guilty so anafeel yuko responsible kumpoza,
Bado anamtunza ex na watoto alozaa nae
Wa kufanana nae si ndo ex wife mana they were legally married and have two children, ts sad mana mana alimuoa for better or for worse leo hii maisha yanabadilika akamdivorce na ye ndo alikua anakucheat...Sasa unadhani ni pesa ndo imemchange for the bad? Just because mkewe alikuwa nae enzi hana pesa ndo amgande hata kama anaona relationship haiwork tena? Sidhani kama ukiachana na mtu inakufanya uwe bad. Aliona hayuko happy tena na kampata wa kufanana nae.
kabisa mdau wanamsifia bure hakuna kitu zaidi ya kupiga kelele tu kuna wakina chris tucker,mike epps nkHaka kajamaa kako overrated kwenye comedy. Binafsi mi namkubali sana Cedric the entertainer na Mike Epps.
Sio lazima yamkute, au maybe yameshamkuta. Divorce si kitu kizuri lakini kama sio yako na hujui nini hasa kilipelekea kutokea kwake then sio place yako kujudge. Tunawalaumu wanaume kwa kucheat lakini wao sio washenzi tuu kiasi hicho acheat bila sababu. Ni nadra sana mume kucheat kama unatimiza majukumu yako 100% au hata 80% basi. Na hiyo maisha kubadilika ilikuwa ni timing tu...wangapi hawana pesa wanaachana, kuitumia kama sababu ya divorce sio sawa.Wa kufanana nae si ndo ex wife mana they were legally married and have two children, ts sad mana mana alimuoa for better or for worse leo hii maisha yanabadilika akamdivorce na ye ndo alikua anakucheat...
Unless km u see divorce is just okay kisa mtu later in life anapata wa kufanana nae anakuditch ht km mshaanzisha familia ..
What goes around comes back around,..Kev yatamkuta tu
Wanaume wengi wanacheat sio kwa sababu ya wake zao hawawatimizii majukumu, ila kwa ajili ya tamaa zao binafsi. Wasikilize tu maongezi yao, wengi watakwambia kucheat ni nature yao. "Cheating is a choice, a personal decision. Some people will cheat no matter how good it is, and others will never cheat no matter how bad it is"Sio lazima yamkute, au maybe yameshamkuta. Divorce si kitu kizuri lakini kama sio yako na hujui nini hasa kilipelekea kutokea kwake then sio place yako kujudge. Tunawalaumu wanaume kwa kucheat lakini wao sio washenzi tuu kiasi hicho acheat bila sababu. Ni nadra sana mume kucheat kama unatimiza majukumu yako 100% au hata 80% basi. Na hiyo maisha kubadilika ilikuwa ni timing tu...wangapi hawana pesa wanaachana, kuitumia kama sababu ya divorce sio sawa.
Chriss Brown alisema " Till we get t right we gon love some more"...Haimaanishi eti uliyeoana nae wa kwanza ndo right kwako. Maybe ilikuwa ni shule tu ya kukufanya a better person kwa ajili ya yule wa Maisha yako.
I have cheated before and i will tell you kuwa sometimes unabaki huna option ila kucheat, not tht u want the other person so bad but una needs zako za kibinadamu ambazo huyo ulienae hazitimizi na hata ukimwambia habadiliki. Hayo ya wanaume wengi kusema hivyo, sijui kwa sababu sijawahi kuwasikia but ni opinion yako so nairespect but kwa experience yangu wanawake wengi uzembe umetujaa, hufanyi part yako na akipewa mwingine unaanza kulia. Tunafanya vitu kwa mazoea tu bila kujua kitamfaa mwenzio au la. Tuna maudhi madogo na makubwa, na mwisho wa yooote tunapenda kuwa victims.Wanaume wengi wanacheat sio kwa sababu ya wake zao hawawatimizii majukumu, ila kwa ajili ya tamaa zao binafsi. Wasikilize tu maongezi yao, wengi watakwambia kucheat ni nature yao. "Cheating is a choice, a personal decision. Some people will cheat no matter how good it is, and others will never cheat no matter how bad it is"
I respect your opinion pia, sawa kuna wanawake ambao hawatimizi majukumu yao au maudhi but still cheating isn't a solution. Hata wanaume wenye maudhi wapo, ila kachepuke afu mumeo ajue uone kama ndoa haijafa. Wewe uliona una excuse ya kucheat, Hata mwingine atakayechepuka atakupa excuse yake, kuwa "maybe the chick is too hot, I couldn't resist her". Mke ana kosa hapo? Not all the time Mke anakuwa mkosajiI have cheated before and i will tell you kuwa sometimes unabaki huna option ila kucheat, not tht u want the other person so bad but una needs zako za kibinadamu ambazo huyo ulienae hazitimizi na hata ukimwambia habadiliki. Hayo ya wanaume wengi kusema hivyo, sijui kwa sababu sijawahi kuwasikia but ni opinion yako so nairespect but kwa experience yangu wanawake wengi uzembe umetujaa, hufanyi part yako na akipewa mwingine unaanza kulia. Tunafanya vitu kwa mazoea tu bila kujua kitamfaa mwenzio au la. Tuna maudhi madogo na makubwa, na mwisho wa yooote tunapenda kuwa victims.
Sisupport wanaume kucheat lakini sidhani kuwa wanatakiwa kubebeshwa blame yooooote ya kucheat.
I respect your opinion pia, sawa kuna wanawake ambao hawatimizi majukumu yao au maudhi but still cheating isn't a solution. Hata wanaume wenye maudhi wapo, ila kachepuke afu mumeo ajue uone kama ndoa haijafa. Wewe uliona una excuse ya kucheat, Hata mwingine atakayechepuka atakupa excuse yake, kuwa "maybe the chick is too hot, I couldn't resist her". Mke ana kosa hapo? Not all the time Mke anakuwa mkosaji
No one is perfect, so kila mtu ajitahidi kubeba madhaifu ya mwenzie. If you are not happy na mahusiano yako/ hupati kile ulichotarajia, na umejitahidi kuwasiliana na mwenzako ila hakuelewi or no muafaka, basi it's better ukahamia huko huko ambapo unaona utapata kila kitu as Kev Hart did. Hakuna binadamu atakayeku-complete 100%, rather vitu vingi tuna compromise. Sasa wengi wetu ni wabinafsi, "I simply want to have my cake and eat it too"
A temporary satisfaction, but with greater consequences sometimesCheating sio solution ya kudumu lakini for temporary satisfaction inawork. Na wapo wanaume wanaosamehe watu wao wakicheat, I have seen it with my own two eyes. Not all the time mke ni mkosaji na pia kwa wanaume ni hivyo hivyo, tusiwabebeshe mzigo wa lawama.
Kila mtu ajitahidi kubeba madhaifu ya mwenzie ila sio ndo ubaki unhappy kabisa roho haijatulia kisa kumvumilia mtu. I strongly support decision ya mtu kuhamia kule furaha yake ilipo lakini sisi wanawake tukifanyiwa hivo na wanaume ndo tunaanza maneno kama "tamaa, kapata pesa hanitaki tena, wanaume ni wabinafsi" bila kujua hasara za kuwa na mtu who isn't happy with you.
wanaume wafupi wanakuaga na gubu teh