Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643
Natanguliza pongezi zangu kwa mtajwa hapo juu ambaye alikuwa mbeba MABOX maarufu huko USA, na mambo yalivyozidi kubana akarudi nchini, kafanya mambo makubwa kwenye mitandao ya simu nchini kwa kubuni extreme promo ambazo zimempa sifa.

Ombi langu kwa mliobakia huko nasikia kuwa mnateseka sana na hela mlizopewa za stimulus package zimeisha ila mnajiuliza mtarudije... rudini tu kama mlivyoondoka huku mkiwa na hicho ki-slang cha kuch kuch gut gut wanna wanna gonna gonna, wit wit mtatoka tuu, makampuni yanachanganyikiwa sana na hilo swala hawajalishi vyeti just come home, sweet home....

Karubuni sana.
 
.....mkiwa na hicho ki-slang cha kuch kuch gut gut wanna wanna gonna gonna, wit wit mtatoka tuu, makampuni yanachanganyikiwa sana na hilo swala hawajalishi vyeti just come home swt home....

Karubuni sana.

HAAAA!! Nguli.... hiyo slang ilikuwa inawazingua like 10 years ago...not anymore usiwadanganye wenzio.Sasa hivi shule zipo kibao za ung'eng'e na slang ni kama kawa tu.Ukitegemea slang au sijui kutema yai... unajidanganya.. you need to couple that with substance tena siyo ya kitoto vinginevyo utatolewa nishai!
 
Aisee we jamaa ni mchokonozi na mchokozi wa kisayansi wewe!
Haya bwana...
 
Mkubwa heshima mbele! Naheshimu sana fikra zako huo ndio upeo wako.....

Binamu si unakumbuka umeanzisha vita?Mbeba boksi Wa kwanza huyo.... Subiri watakuja na wengine humu.
 
Ila tu naomba msiongelee vile vyeti vyetu feki!
 
Binamu si unakumbuka umeanzisha vita?Mbeba boksi Wa kwanza huyo.... Subiri watakuja na wengine humu.

crispin vipi bana,,,,,,,,,,mi nabebesha watu maboksi........i am the boss.
 
wewe dogo mi ni diwani wako mtarajiwa hapa tegeta.....
karibu zero pub.......

Hahaha! Lol! Ulimjibu binamu nguli kama mbeba box bana. Samahani kamanda. Siku hizi huwa najipumzisha pale Jay pub. Wahudumu pale wana TBS na ni HIV negative wote! Hata kale kambulu ketu kamehamia pale. Hahahaha!
 
Ignorant schadenfreude.

Mkuu Hesima kwanza!

Wengine japo tuko humu mavumbini Kijerumani nacho kinapanda labda uchanganye ki-Hebrew ndio utanishutua
 
Si nilikwambia kaka. Wabeba mabox hata kiswahili wanajifanya hawakijui.
 
Si nilikwambia kaka. Wabeba mabox hata kiswahili wanajifanya hawakijui.

Ha ha ha ha, wanatishia kuchanganya kizungu na kijerumani ili kutushtua kuo wako mbaaaaaaaaali, kumbe wote sawa tu, kwa taarifa yake ukienda kwetu moshi mapota wanapandisha milima wazungu wanakiongea kuliko hata wazungu wenyewe LOL!
 
Hahaha! Mpwa nimeipenda hiyo red.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…