Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Sasa Kelly01 akianza kutoa majina ya hao watu wengineo ni member humu huoni kama atakuwa anavunja sheria za JF au unalengo baya wewe elewa tu wapo wengi wanaishi maisha ya kikimbizi wkt home full shwangwe tu.
No! no! Fidel80...kama aliweza kutoa jina la Twisa then atoe na hao wengine unajuaje kama Twisa siyo memba wa JF??...au kwa sababu he is doing well?....ni vyema kama unamueleza mtu ukweli kuliko kumficha na kuanz akumuongelea kwa mafumbo....mtu atawezaje kujirekebisha kama haumwambii ukweli...and it seems like ni rafiki zake maana kama unamjua mtu life anaiyoishi meaning mnajuana vizuri sana na mna communicate kuliko ku-generalize life za watu wote....alafu watanzania mnataka change!....change itakujaje kama huwezi kusimama kidedea and put someone pn blast...."mficha mficha uchi hazai"...