Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

Sasa Kelly01 akianza kutoa majina ya hao watu wengineo ni member humu huoni kama atakuwa anavunja sheria za JF au unalengo baya wewe elewa tu wapo wengi wanaishi maisha ya kikimbizi wkt home full shwangwe tu.


No! no! Fidel80...kama aliweza kutoa jina la Twisa then atoe na hao wengine unajuaje kama Twisa siyo memba wa JF??...au kwa sababu he is doing well?....ni vyema kama unamueleza mtu ukweli kuliko kumficha na kuanz akumuongelea kwa mafumbo....mtu atawezaje kujirekebisha kama haumwambii ukweli...and it seems like ni rafiki zake maana kama unamjua mtu life anaiyoishi meaning mnajuana vizuri sana na mna communicate kuliko ku-generalize life za watu wote....alafu watanzania mnataka change!....change itakujaje kama huwezi kusimama kidedea and put someone pn blast...."mficha mficha uchi hazai"...
 
moderator moderator !!! stop stop haya mambo ya kuruhusu watu wa kawaida wanawekwa humu jamvini sio vizuri,unaanzisha hii forum iwe kama THE UTAMU na mwishoe ije ifungwe jaribu kutoa pumba hizi
 
Jamaa alikosa VISA, naona sasa ana-back-faya!...

Haya Bana!, Box nabeba na Home najenga,
Unajiita Malenga, Kwenu Umeshajenga!?,

So Long,
B.
 
Mi narudi kule kule ninakobana kila siku, kila mtu kivyake vyake.Ulimwengu huu wa utandawazi, wa information overload, wa paradigm shifts, wa boundless opportunities, wa a world citizenry, mtu anakuwa na muda wa kuchunguza watu wanaishije? Ujue huyo maisha yake mwenyewe yamemshinda.

Moja ya sababu mimi naamua kukaa ughaibuni ni simply bongo sijaweza kuona kazi nitakayofanya as comfortably as what I am doing now, for the money I am getting now, nikaweza kujikidhi mwenyewe na familia yangu the way I am doing now. Kwa hiyo hiyo habari ya kubeba mabox siielewi on a personal level, na ninaposikia watu nyumbani wana generalize hivyo napata kushangaa kwa nini mtu afanye hivi -other than the obvious reasons za wivu wa watu waliopigwa chini visa kama alivyosema member mmoja hapo juu-

Lakini hata kama ningekuwa nabeba maboksi, that would have been the life I chose.Tumeumbwa tofauti na kila mtu ana priorities tofauti, kwa nini kujifanya nanny wa watu wazima wanaojua wanachofanya? Wanakuhusu nini wewe kama si kimbelembele tu?

Hizi tabia za kujuana sana zinaonyesha tu watu walivyokuwa fixated na maisha ya wenzao.Mwacheni kila mtu aamue aishi maisha yake, hata kama mtu anataka kuunga tela kwenda Andromeda Galaxy and the planets of Betelgeuse kutafuta makazi mapya huko poa tu, wewe inakuhusu nini? I mean hata kama ni mtu wa familia yako bado ana decision yake mwenyewe. Mbona mnataka wivu wenu uwafanye muwe kama watoto wadogo ambao hawajafika age of reason?

I am a vegetarian, so I don't need beef, but when it comes to dispelling some obviously concocted falsehoods, I come in peace to release the beacon that the effect of my voice enlightens with.
 


I salute you on this....sometimes unakuwa una make sense sana!....ila kuna wakati mwingine unakuwa unaniudhi......week hii yote naona unatema point tuu!....Abra kadabra!...
 
I salute you on this....sometimes unakuwa una make sense sana!....ila kuna wakati mwingine unakuwa unaniudhi......week hii yote naona unatema point tuu!....Abra kadabra!...

Tatizo lako nikikuudhi husemi, wewe unapenda kukubaliana sana, which may not be healthy.
 
Tatizo lako nikikuudhi husemi, wewe unapenda kukubaliana sana, which may not be healthy.

Na hata nikisema utakubali au ndiyo utaendelea kubisha na kuniudhi?!....Mimi nitakubaliana na wew epale napoona kuna ukweli ndani yake ila sitakubaliana kamwe kama unaongea uongo!...

All in all mwanawane this week eeh umenifurahisha naona tupo on the same page (think alike)!....hope itakuwa hivi for so long...
 
Moja ya sababu mimi naamua kukaa ughaibuni ni simply bongo sijaweza kuona kazi nitakayofanya as comfortably as what I am doing now, for the money I am getting now, nikaweza kujikidhi mwenyewe na familia yangu the way I am doing now.

Without knowing what you do for a living and just to add to your point, I'm supposing that you are not a fisadi either. Which means humwibii mtu. Unapata riziki yako kihalali kitu ambacho kinafurahisha kuhusu ughaibuni. I just can't picture myself being a fisadi and I'm not saying everybody or all people over there are fisadis. My point is, if you work hard, put in the effort, in America, you can make it. To me that's more gratifying than to indulge myself in some underhanded or unscrupulous behavior to make ends meet.


Nadhani hii ya kubeba box I think lately it has evolved into a metaphor for doing whatever is that you do to make a living. I, for one don't take it literally. Heck, mbona sasa mimi nabeba maboksi hapa....
 
Mhhhhh!!!!Hili bifu kati ya mla vumbi na mbeba box.🙄🙄
 
Sipo kwenye kundi lolote hapo, nipo kula nondozzzzzzzz tu.Zitakapoisha ndipo nitakapojua nichague kula vumbi au box.

Haya kazana na hizo nondozz....hakikisha hukosi kwenye dean's list kila muhula na siku ya kuhitimu unavaa joho lenye rangi na mapambo tofauti na ya wengine.
 
Habari hii imekaa kiwivu wivu na muandikaji anatambua Kevin ni kiboko ya walio na PhD , maana amesha oneysha huitaji kwenda Havard Uni kufanya mambo makubwa, HOngera Kevin , umewarusha hawa haters!
 
hivi ukisema hivi ndo unapata faida gani watu bwana kujitutumua ka koti la agha khan
 
Nyie mnaowaambia watu warudi wawe kama Kevin mnajua history ya Kevin, income bracket ya familia yake, family connections zake na mengine kama hayo?

Hata kama Kevin hana degree, anayo pedigree, sasa waswahili wana msemo "ukitaka kumuiga Tembo kunya utapasuka msamba". Kuna wengine hatuna pedigree bongo wala backing ya Holy Roman Empire, tupo huku tumejibanza, na hata kama tungekuwa nayo hatuhusudu michongo ya migongo ya pedigree. Si kweli kwamba mtu yeyote mwenye jitihada anaweza kufanya hizi kazi, bongo kuna unwritten rules, ndiyo maana BOT walijazana kama ng'ombe mnadani.

Kwa hiyo tupe mfano wa mtoto wa Uswazi aliyefanza vitu, hapo kidogo utawagusa watu, ingawa mimi nasimama pale pale kwamba kila mtu kivyake vyake.

Lakini hawa watoto wa Upanga / Oysterbay friji open wameenda kwenye parties za Mkapa wakati Mkapa Waziri wa Utamaduni early 1980s huwezi kujilinganisha nao kabisa. Wengine majina yetu hayajulikani Rotary Club, Lions Club wala networks za Gymkhana Club sasa hatuwezi kujilinganisha na wenye networks za nchi.

Si mnaona wenyewe, huku Kevin Twisa sijui, huku nani Makamba sijui, hata wewe uje na videgree vyako vya Ivy League unaweza kuwa frustrated tu. Ndio maana kwa usawa huu tunajikita tu, Ma-Wall St, Ma-Silicon Valley, Ma-dirty basements, ma nursing homes, Ma-Batani, ma-Buruda, usawa wa Twiga mnyonge minazini hatutaki kuusikia mpaka kieleweke vizuri, humrudishi mtu.Na hivi rais ndiyo huyo officially taahira ndiyo kabisaaaaa.

Kama vile visoda vilivyokuwa vinasema, nakwambia "Jaribu Tena".
 
Unajua hao jamaa wanadhani kila mtu ana Mjomba wa kumbeba akirudi bongo, sisi wengine watoto wa wakulima. Kurudi haturudi ng'o mpaka kieleweke, na box kwa sana tu.
 

Mkuu heshima mbele hapo tupo ukurasa mmoja yaani kwa bongo hat ukipata Tsh 5M kwa mwezi bado hutaweza kuishi kama nje maisha yalikopangika
1. Usalama mdogo
2. Umeme wa mgao
3. Infrastructure very poor
4. Kila kitu kwa kujuana
5. Maji bado ya ndoo
6. Bia zina mende
7. Kila kitu kupo overpriced ku cope na income yao

All in all Tanzania ni one of the poorest Country in the World labda hao wanamtandao wa fix hii ndio tuaze kubishana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…