Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

ila mimi naishi popote pale,ila principle ni moja tu yaani nimesoma na ninaprofession yangu then niishi mahali nisafishe wazee au nifanye usafi sijui hiyo ni big NO.nitaashi mahali popote ila nifanyie kazi profession yangu full stop,if not basi nijiajiri mwenyewe na nicreate jobs kwa wengine
 
NILIKUWA huko siku chache sana zilizopita na nimewakuta wengi tu walioondoka wakarudi wakiwa na vyeti vizuri tu bado wapo mtaani na wanatamani kupanda ndege tena but to some of them is more than too late,anayewaambia watz warudi nyumbani ana WAZIMU.hakuna system hapo ya kumhakikishia mtoto wa mkulima nafasi sawa na hao waliotajwa hapo juu.
 


Ona huyu mnafiki.Unasema walienda kusoma na hawakusoma,hapohapo unasema wengine wana elimu ambayo wangerudi wangepata kazi nzuri na za maana.sasa which is which?
Halafu hiyo definition yako ya kazi nzuri za maana ni ipi?Na kwani ni lazima kazi unayoiona wewe nzuri na mimi niione nzuri?Wewe kama unaona kufanya ofisi ya Mengi au clouds ni kazi ya maana ni mpango wako.Kazi nzuri na ya maana kwangu ni ile inayonipa ujira wa kutosha kujikimu na maisha yangu na kuwasaidia binamu zangu na wajomba zangu bongo.Kwahiyo usilazimishe unavyotaka wewe au vile unavyoishi wewe na wengine waishi hivyo.
Mimi p53 hapa hujui ni nani na nafanya kazi gani kiwanja wewe una generalize eti wanalala 10 wanafanya kazi zisizo na maana.Watu wengine bwana hovyo kweli yani
 


salute man....wish i cud produce beat 4 ya....
 

drop some more.......
 
Hata mimi wabeba maboksi nawakubali kuliko walavumbi,kwenye kazi uwezo wao ni mkubwa kuliko hawa jamaa zetu ambao hawajawahi kuvuka mibahari.Penye ukweli lakini tukubali hawa ambao wamesomea hapa hapa wenye uwezo wa kufanya kazi na wana ubunifu hawajai kwenye kijiko cha chai! vyeti vizuri lakini inapokuja kwenye mambo ya kazi hakuna lolote jipya,kazi si vyeti tu ni kujua kufanya kazi,kufanya tafiti,kuandika reports n.k.
Waliobeba maboksi wanajua jinsi ya umuhimu wa kufanya kazi tofauti na wale ambao wakati wote wanaenda kwa wajomba kubomu,majuu ndugu zanguni hakuna cha mjomba wala mama ni juhudi zako.
 
kulikushinda kwa sababu ulikuwa mvivu -au ulikuwa mtoto wa mama b4 kuja huku.
 
kwani hao wabeba mabox wenye muda wa kukaa kwenye computer na kuperuzi humu JF wako wangapi?, au hao wala vumbi wanye pesa za kumwaga internet cafe ni wangapi? hapa watu tunaongea weee lakini wahusika wanaotajwa pengine hata hawapo hapa

wabeba mabox wanabeba mabox, wala vumbi wapo vijiweni na mashambani
...wengi wetu humu wala hatumo kwenye hayo makundi mawili...tuwaachie wenyewe waongee
 
Bongo frustrations kibao...Kila kitu bongo kipo poluted! Umeme, Maji, viongozi, wanafunzi, makonda, waendesha mabasi, wabunge, mawaziri....wote hati chafu!!

As long as polisi hawawasumbui na umeme upo, mlio ughaibuni kaeni tu!

mambo yakiwa poa, tutawaambie mje.... kwasasa tuachieni sie tuliozoea!!
 
kulikushinda kwa sababu ulikuwa mvivu -au ulikuwa mtoto wa mama b4 kuja huku.

Labda uko sahihi ingawa sina hakika... Ukiweza kuwajua nilioishi nao watakusaidia zaidi, even the current assignment niliyonayo nabeba boksi na nakula vumbi 50/50, na ndio maana i have always said kwamba it doesnt matter where you are, cha maana ni kupiga kazi, return to the society iliyokukuza na kuchangia JF

Just try 60K in Arlington na 60K in Dar then you choose the right direction, kwa kule ni manati aisee ila kwa huku waweza kuvimbisha visuli vya jeans

Respect is always to those who earn and we are all intitled

Ngoja nikapate Bata halafu nichape kongoro....
 
 

Haya ni matusi kwa wabeba mabox ------ina maana wabeba mabox wote no kwenda shule, wanajua kiinglishi tu basi?

Lakini on the other hand...elimu sio cheti, if you are able to deliver then inatosha.
 


sasa kwanini usiongee na hiyo robo tatu ya familia yako uwaambie warudi waache kuuza mikate mitaani kuna wauza mikate wangapi tz mbona hushughuliki nao kama kweli unawaonea huruma watu wanaopata tabu na maisha
 
Haya maswali 'Umelifanyia nini taifa" lol kuna watu taifa halijawafanyia chochote zaidi ya kuwapa mifrustration.
 
Haya maswali 'Umelifanyia nini taifa" lol kuna watu taifa halijawafanyia chochote zaidi ya kuwapa mifrustration.

Kwanza taifa lenyewe ni nini kama sio a vague idea capitalizing on people's sensitivities to grasp for a higher collective meaning even where there is none?

Nationalism is fairly modern but it draws from a fabricated and dated history. In that sense ni control psychology/ mechanism tu, ukitaka watu waende kukupigania vita vyako vya imperialist expansion, what do you do? Invoke nationalism, ukitaka watu wawe passive katika kulipa kodi, invoke nationalism, ukitaka ku get away with murder, invoke national security.

I would rather work with people based on direct people to people feelings than the invoking of fake nationalism characterized by a torrent of fanatic soliloquies of chaos thinly disguised as virtuous ideals under the umbrella of nationalism.

Even Hitler was a nationalist, he was the Fuhrer from NAZI after all.
 

Big up Triplets kweli umenena, watu wanafikiri kila aliyokuwa ughaibuni ana beba box. Wengine huko wanakazi zao za maana tena wanategewa na wazawa wa huko.
 

Dude chill down! This is way off point and a straight up overkill as far what this thread is all about. What's all this Hitler and "virtuous soliloquoy nationalistic ideals" got to do with Kelvin Twisa?
 
Dude chill down! This is way off point and a straight up overkill as far what this thread is all about. What's all this Hitler and "virtuous soliloquoy nationalistic ideals" got to do with Kelvin Twisa?

And you thought Raju was bombastic? This is the real Mr. Bombastic right here. Flying off at a tangent is a habit of a lifetime for him.
 
Wakati mnawaponda wabeba maboksi na kuwaambia bongo mambo tambarare..........
 
And you thought Raju was bombastic?

At least with Rajabu you sort of know the drill (i.e., the usual crap about innate inferiority of Blacks, Race and IQ, raw Africans, and stuff like that)...but dude all-of-a-sudden takes off at full-speed in some monologue of metaphysical dimensions for no good reason, when its obvious all what folks wanna discuss about is Kevin Twisa and the myths and realities of life as low-wage immigrants. Rather peculiar and funny though...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…