Watu wanaongelea home alone wew umekuja na problem child .wabongo hatar sanaKulikuwa na sinema za PROBLEM CHILD 1-4. Nani alizicheza? Dogo alikuwa amepinda sana
Jamaa linapenda sana kujionesha ili liwanase akina melaniaLilikua ni sharti moja wapo kwamba lazima atokee, ili awaruhusu kushoot kwenye hotel yake.
Hizo picha musizifute sisi mijuakali ya Freebasic tukibahatisha bando tukimbilie kuziona.Ati huyu mwamba ni raisi wa dunia sasa hivi 🤣🤣🤣 tusikate tamaa ya kutafuta jamani...Ila 1992 still jamaa alikuwa anamiliki hilo jengo wanaloigizia hio movie.View attachment 1549980
ina maana dogo alizaliwa 1980?
Ilifanyiwa official release 1992 ina maana aliigiza akiwa na miaka 10 bila shaka.
Daaah! Yaliteseka sana haya majamaaWenzake kwa nyuma hao hapo
View attachment 1549947
Mwanaume lazima uwe na mbinu ama ww mademu zako huwa unabaka!!?Jamaa linapenda sana kujionesha ili liwanase akina melania
Problem Child 1 na 2 aliigiza Michael OliverKulikuwa na sinema za PROBLEM CHILD 1-4. Nani alizicheza? Dogo alikuwa amepinda sana
Nakumbuka mshua alikua anakuja na movie za Chuck Norris, Arnold Schwarzenegger pamoja na James Bond from Russia with Lovekipindihicho hakuna cha Netflix wa lanini..!! mzigo VHS television ya Hitachi na deck ya Panasonic
inakumbusha unakuta kanda zimepangana Home Alone 1,2,3
Baby day go out
Mr Bean
Msandawe
john in the jungle
Ebwana eeeh ilikua bandika banduaaa....!!
Problem Child 1 na 2 aliigiza Michael Oliver
Problem Child 3 kaigiza Justine Chapman(kama sijakosea jina)
Sent using Jamii Forums mobile app
kipindihicho hakuna cha Netflix wa lanini..!! mzigo VHS television ya Hitachi na deck ya Panasonic
inakumbusha unakuta kanda zimepangana Home Alone 1,2,3
Baby day go out
Mr Bean
Msandawe
john in the jungle
Ebwana eeeh ilikua bandika banduaaa....!!