Kevin wa "Home Alone" afikisha Miaka 40

Kevin wa "Home Alone" afikisha Miaka 40

ina maana dogo alizaliwa 1980?
Ilifanyiwa official release 1992 ina maana aliigiza akiwa na miaka 10 bila shaka.

ndio,he was ten at the time,ila aliigiza movies nyingine pia kabla ya hiyo
 
Ila uzee ni mbaya sana, hasa ukikukuta hauna pesa.
 
kipindihicho hakuna cha Netflix wa lanini..!! mzigo VHS television ya Hitachi na deck ya Panasonic
inakumbusha unakuta kanda zimepangana Home Alone 1,2,3
Baby day go out
Mr Bean
Msandawe
john in the jungle
Ebwana eeeh ilikua bandika banduaaa....!!
 
Nakumbuka mshua alikua anakuja na movie za Chuck Norris, Arnold Schwarzenegger pamoja na James Bond from Russia with Love
 
kipindihicho hakuna cha Netflix wa lanini..!! mzigo VHS television ya Hitachi na deck ya Panasonic
inakumbusha unakuta kanda zimepangana Home Alone 1,2,3
Baby day go out
Mr Bean
Msandawe
john in the jungle
Ebwana eeeh ilikua bandika banduaaa....!!

Samahani ni John in the jungle au George of the jungle?
 
Back
Top Bottom