Key player wa Al Ahly Kuikosa Mechi dhidi ya Simba

Haya njoo na list ya makapuni ya kubeti iliyothubutu kumpa Mamelod asilimia kubwa ya ushindi mbele ya Yanga.
Makampuni yote yamempa Yanga ushindi tena wakishindo kama election ya 2020
 
[emoji1][emoji1][emoji1] hii kweli imekua vita..ni misumari nini au wanatuchota akili tu tuamini
 
Mambo mengine ni kujifariji tu mchezaji anae kaa benchi Al Ahly utamlinganisha na mchezaji anae anza huku kwenye timu zetu?
 
Emam Ashour will undergo surgery tomorrow morning. [emoji599][emoji1093]
 
Mambo mengine ni kujifariji tu mchezaji anae kaa benchi Al Ahly utamlinganisha na mchezaji anae anza huku kwenye timu zetu?
Mkaa bench huwezi mlinganisha na mchezaji anaeanza kila game, si ndo akina Miqiuson waliokua wanakaa bench al ahly na kiwango kikaporomoka.
 
Huku kwetu sisi wote buheri na siha njema kabisa, tena hata majeruhi wana ahueni.
 
Kwenye football Siku zote timu bora ndio inayopewa nafasi kubwa.

Mamelody ni timu bora dhidi ya Yanga. Karata ya ushindi lazima iende upande wa Mamelody.
Ubora wa timu unaupimaje?
 
Mkaa bench huwezi mlinganisha na mchezaji anaeanza kila game, si ndo akina Miqiuson waliokua wanakaa bench al ahly na kiwango kikaporomoka.
There you are, kama Miqiuson alikua panga pangua Simba kule kakosa number ndio ujue kua hakuna nafuu yoyote hata wakipanga kikosi B bado kazi tunayo kwenye bench la Al Ahly hakuna kina Kennedy wala Chasambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…