Nyang'au kwa Mmarekani hapindui, ni Mungu kwao, wamempa kabisa sehemu awe anafanyia mazoezi ya kijeshi! Ni utumwa wa ajabu kabisa..We're encouraging our local businesses unataka vijana wakaanga chips wakale wapi? Hiyo sector imeajiri maelfu ya vijana nchini we don't want foreign monopolies.
We have local standard franchises like Mak Chicken which so far doing great job
Get jealous or get inspired
Kwa hiyo kua na migahawa mingi ya kigeni ndio utajiri?Nguvu wa thiongo ni babayako?......tz has kfc too but only 5....you are poor
.Oh my God!!! KFC?Hahaa....KFC main targets ni tourists na wazungu wanaoishi kenya (multinationals)
Kua exposed tembea ..kichwa yako sai waitumia kama kifuniko ya shingo
Nguvu wa thiongo ni babayako?......tz has kfc too but only 5....you are poor
Kumbe wewe mpumbavu ndio maana wanakupuuza.Hahaa....KFC main targets ni tourists na wazungu wanaoishi kenya (multinationals)
Kua exposed tembea ..kichwa yako sai waitumia kama kifuniko ya shingo
Jinga hilo,Kumbe wewe mpumbavu ndio maana wanakupuuza.
Hahaa....KFC main targets ni tourists na wazungu wanaoishi kenya (multinationals)
Kua exposed tembea ..kichwa yako sai waitumia kama kifuniko ya shingo[/QUOTE
You are exposing your stupidity. Kweli ushamba ni mzigo. For your information, rich Kenyans don't eat KFC. Hizi ni restaurants za ma-youth and low class citizens. Middle class wanakula articafe, java house, galitos, Mayura Mayura, La Cascina, to name a few.
sema tu umezoea kula kwa kibandaski/ mama ntilie, hatutacheka kwa nguvuTanzanians can only afford organic healthy and natural foods we don’t do junks.
Acheni mawazo ya kikoloni kila cha mzungu ni bora, yai kubwa ni la kizungu hata pua kubwa iitwe ya kizungu!sema tu umezoea kula kwa kibandski kwa mama ntilie, hatutacheka kwa nguvu
KENYA NOT YET UHURU. By Ngugi wa Thiong'o.Acheni mawazo ya kikoloni kila cha mzungu ni bora, yai kubwa ni la kizungu hata puss kubwa iitwe ya kizungu!
That because in the US vegetables are more expensive than meat or chicken... Ukienda huko things like broccoli and kale, avocados, mangos are for rich people, while you can get a small bucket of fried chicken thighs for an inflation adjusted equivalent of 1,000 sh....Very funny....in Kenya rich people eat KFC junk...but in USA where KFC originated poor people eat KFC
haha mjinga unacatch feelings juu hauwezi afford kama una menstrate tafuta always usiniletee feelings zako ..only a few can afford in Dar if u cant shut the fuckk upKumbe wewe mpumbavu ndio maana wanakupuuza.
na hii internet unatumia ni ya wapi...dont be so backwardHahahahaha, Tanzania hatushobokei vitu vya wageni, hata hizo 5 tutazifunga kama tulivyofunga Nakumatt, Uchumi na Shoprite Supermarkets, hatuwezi kuacha kununua kuku toka kwa Mark Chicken, eti tukanunue KFC, Tanzanians are not stupid.
KENYA NOT YET UHURU.
Tunatumia vitu vya nje pale tu hakuna tunaweza zalisha au kutengeneza nchini, sasa hata kuku tununue wa KFC wakati kijana wa kitanzania anachoma kuku waziri zaidi ya KFC?.na hii internet unatumia ni ya wapi...dont be so backward
madini zenu zinaendaga wapi?..yani mnatumiwa vibaya unalialia kenya hapa hajioniTunatumia vitu vya nje pale tu hakuna tunaweza zalisha au kutengeneza nchini, sasa hata kuku tununue wa KFC wakati kijana wa kitanzania anachoma kuku waziri zaidi ya KFC?.
Kitu kinachowafanya ninyi wakenya kuonekana wajinga, ni kitendo cha kuhusisha vitu vya kigeni, hasa vile vya wazungu kama dalili ya utajiri, maendeleo au elimu, hata kujua kiingereza mnaona ni jambo la kujisifia. KENYA NOT YET UHURU.
Look at a fool thinking he is Wise..Tanzanians cant afford luxury food period.