Kha! Kaachiwa Huru!!!!!

Kha! Kaachiwa Huru!!!!!

Shukuru

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2007
Posts
747
Reaction score
16
JAJI: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo.

MTUHUMIWA:Lakini ni mitambo tu siyo gongo mheshimiwa!

JAJI:Hicho ni kithibiti tosha kabisa.

MTUHUMIWA:Basi nihukumiwe kwa kosa la kubaka.

JAJI:Kumbe ulibaka pia?

MTUHUMIWA:Hapana ila hapa ninacho pia kifaa kinachotumika wakati wa kubaka akimaanisha[uume].

JAJI:Basi upo huru.

Kwi Kwi Kwi..
 
Hahahhaa kabisa kabisa...kwa mtaji huoo lazima iwe huru
 
JAJI: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo.

MTUHUMIWA:Lakini ni mitambo tu siyo gongo mheshimiwa!

JAJI:Hicho ni kithibiti tosha kabisa.

MTUHUMIWA:Basi nihukumiwe kwa kosa la kubaka.

JAJI:Kumbe ulibaka pia?

MTUHUMIWA:Hapana ila hapa ninacho pia kifaa kinachotumika wakati wa kubaka akimaanisha[uume].

JAJI:Basi upo huru.

Kwi Kwi Kwi..

HA HA HA HA HA HA, MWANA KWELI NOMAAAAAAAA
 
what an intelligent analogy

kazi kwa jaji na mahakama kwi kwi kwi kwi!!!!
 
Tihi tihi tehe tehe tehe taha!!!!!!!!!!!
IIIIIIIIIIIIIII aa aa aaaaah aaaaah ah !!!

Mbavu zangu weeeee!!

Well. hakimu alimwachia kwa kuwa alitoa kichekesho bab kubwa? au Kwa kuwa alitoa hoja yenye afya ama kutokana na ukweli kuwa hakushiriki biashara ya gongo?

Nnhii nhi nhi nhi!!!!!!!! eeh
 
HApo ilikuwa ngumu maaana kama mshitakiwa angepatikana na kosa la kubaka basi hapo watu wengi wangekuwa washitakiwa ghafla maana natumaini hata bwana hakimu alikuwa na kifaa chake cha kuharibia. mtuhumiwa alitumia logic kujitetea
 
teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh! ooh!

jamaa ni kwmba hakukamatwa na Gongo.
 
HApo ilikuwa ngumu maaana kama mshitakiwa angepatikana na kosa la kubaka basi hapo watu wengi wangekuwa washitakiwa ghafla maana natumaini hata bwana hakimu alikuwa na kifaa chake cha kuharibia. mtuhumiwa alitumia logic kujitetea

hiyo ndio hadisi....
 
Back
Top Bottom