Kha! Kumbe hata Watanzania wamefuata mahindi Malawi japo kimya

Kha! Kumbe hata Watanzania wamefuata mahindi Malawi japo kimya

Nyie wakenya watu wa ajabu sana! Mnaleta hapa taarifa za uongo kutoka kwenye blogs af mnashangilia!

Haya someni hapa serikali ya malawi ikikanusha huo uvumi mliouleta hapa!

The Agricultural Development and Marketing Corporation (Admarc) has refuted reports that it has plans to sell maize to neighbouring countries.

Recent reports in the local media claimed that Admarc is in the process of selling maize to Kenya and Tanzania.

The media outlets claimed that Admarc wanted to sell the staple grains to recover some of the money it borrowed in order to buy maize at the height of the hunger crisis last year.

[https://i2]

No maize for sale, Admarc says.

While confirming being approached by neighbouring countries, Admarc board chairperson James Masumbu said Malawi will not sell maize soon.

“They have approached us, due to their situation just in case we had, but we don’t know if we are to have a surplus we are waiting for experts on the matter,” said Masumbu.

Admarc currently has 100,000 metric tonnes of maize in stock and this year Malawi is expected to have harvest a lot more.

Last year, Admarc was at the centre of a scandal in which some of its bosses were accused of conspiring to steal taxpayers’ money by buying maize from Zambia using a middleman.

Meawnhile, Admarc has suspended CEO Foster Mulumbe.

He had initially, denied any wrongdoing in the purchase of maize from Zambia, claiming that Malawi bought the maize from the Zambian government something which was contrary to statements by the Zambian government that the maize was bought from vendors.

No maize for sale - Admarc | Malawi 24 - All the latest Malawi news

Utakua huelewi kingereza, bwana Masumbu amesema kwamba mumemfuata..... Soma hii taarifa yako mara kadhaa halafu uje upya.
 
Utakua huelewi kingereza, bwana Masumbu amesema kwamba mumemfuata..... Soma hii taarifa yako mara kadhaa halafu uje upya.
Nilijua tu utakurupuka useme hivyo, wewe ndo una matatizo ya kutafasiri lugha!

Heading yako inasema tulifuata mahindi kimya kimya, na mimi nimekupa statement ya malawi wakisema hawauzi mahindi yao! Sasa nani hajui kusoma hapo kati yangu na wewe?

Au nikupe na link ya kauli ya rais wa malawi akisema hawauzi mahindi?

Hivyo, ulichoandika kuwa tulinunua mahindi malawi ni uongo mweupe
 
Toyota escudo bora umejihangaisha kuwajibu hawa, maana wangefurahi kweli kweli, hawajui wamalawi tumewasaidia mahindi ya Bure walivokuwa na shida ya chakula.
 
Heading inasema mlifuata haisemi mlinunua maana hatimaye inafahamika mlinyimwa.
Hivyo hicho kisa cha nyie kufuata mahindi kimya kimya ni wazi mlikua na upungufu pamoja na liinchi lote hilo ardhi kubwa hata hamna aibu.
Sasa hela hamna maana nyie ni nchi maskini zaidi ya Kenya sasa jeuri au uwezo huo wa kununua mahindi kama sisi mumetoa wapi.
 
Zipo sababu nyengine ambazo zinamfanya mtu aongeze mzigo toka kwengine hata kama yeye anazalisha. Mfano USA, yeye anavyo visima vya mafuta kwake, lakini haachi kuchukua mafuta kutoka OPEC, unajua kwanini? Anaweka kwenye reserves zake. Pale alipo anamafua mengi ya kuhudumia nchi yake kwa miaka ijayo, lakini hajatosheka anayataka yote hasa awe nayo yeye! sasa badala yenu kufikiria kuwa ni katika strategy za kibiashara nyie mnafikiria eti kisa Tanzania haijitoshelezi. Subiri wanunue mahindi ya Malawi yote, halafu muone kama Tanzania haitowauzia mahindi. Priority yetu ya kwanza ni Tanzania kwanza. kabla ya kuuza nje lazima tuwe na Surplus ya kutosha.
 
Heading inasema mlifuata haisemi mlinunua maana hatimaye inafahamika mlinyimwa.
Hivyo hicho kisa cha nyie kufuata mahindi kimya kimya ni wazi mlikua na upungufu pamoja na liinchi lote hilo ardhi kubwa hata hamna aibu.
Sasa hela hamna maana nyie ni nchi maskini zaidi ya Kenya sasa jeuri au uwezo huo wa kununua mahindi kama sisi mumetoa wapi.

Hivi unajua maana ya kufuata? Ukofuata kitu maana yake umekamilisha taratibu zote hivyo unaenda kuchukua!

Kilichofanyika ni kuwa NFRA walienda kuona uwezekano wa kuongeza reserve ya chakula kwenye ghara la taifa! Hapa sisi ni lazima chakula kiwe full kwenye ghara mda wote!

Hivyo kutokana na ukame wa mwaka jana haikuwa shida kuona jinsi ya kujaziliza ghara!

Kumbuka wakati sisi tuna upungufu wa chakula nyie mlikuwa na njaa kali hata mahindi ya kununua hayaonekani!

Halafu naona wewe unaishia kulalama eti nchi yetu ni kubwa, ni kweli na tunajitosheleza chakula!

Nyie na nchi ndogo mnahitaji chakula kidogo pia, lakini hicho pia mnakosa kila mwaka halafu mnajiita mna uchumi mkubwa! Uchumi gani huo wa kushindwa kununua hata mbolea au kujenga irrigation schemes!

Halafu wakati hao Malawi wanasema kuuza sio kama walikuwa na chakula kingi, bali walitaka kulipa madeni yaliyowaelemea!

Hata ninyi Kenya mtakuja kulemewa na madeni maana hela mnatumia kubwa kununua chakula, plus hela ya uchaguzi mtakopa sana!

Sa hizi tunaanza kuwapita, level ya watu wanaoishi under poverty line Kenya iko juu kuliko tz sa hz! Hao watu wenu watakufa kwa njaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sory najua hizi habari hutaki kuziskia[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Toyota escudo bora umejihangaisha kuwajibu hawa, maana wangefurahi kweli kweli, hawajui wamalawi tumewasaidia mahindi ya Bure walivokuwa na shida ya chakula.
Tuko hapa kuwanyoosha hawa nyang'au ili watulie kabisa
 
Hivi unajua maana ya kufuata? Ukofuata kitu maana yake umekamilisha taratibu zote hivyo unaenda kuchukua!

Kilichofanyika ni kuwa NFRA walienda kuona uwezekano wa kuongeza reserve ya chakula kwenye ghara la taifa! Hapa sisi ni lazima chakula kiwe full kwenye ghara mda wote!

Hivyo kutokana na ukame wa mwaka jana haikuwa shida kuona jinsi ya kujaziliza ghara!

Kumbuka wakati sisi tuna upungufu wa chakula nyie mlikuwa na njaa kali hata mahindi ya kununua hayaonekani!

Halafu naona wewe unaishia kulalama eti nchi yetu ni kubwa, ni kweli na tunajitosheleza chakula!

Nyie na nchi ndogo mnahitaji chakula kidogo pia, lakini hicho pia mnakosa kila mwaka halafu mnajiita mna uchumi mkubwa! Uchumi gani huo wa kushindwa kununua hata mbolea au kujenga irrigation schemes!

Halafu wakati hao Malawi wanasema kuuza sio kama walikuwa na chakula kingi, bali walitaka kulipa madeni yaliyowaelemea!

Hata ninyi Kenya mtakuja kulemewa na madeni maana hela mnatumia kubwa kununua chakula, plus hela ya uchaguzi mtakopa sana!

Sa hizi tunaanza kuwapita, level ya watu wanaoishi under poverty line Kenya iko juu kuliko tz sa hz! Hao watu wenu watakufa kwa njaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sory najua hizi habari hutaki kuziskia[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Nyie kuwa na upungufu wa chakula ni aibu na ishara ya uzembe uliokithiri maana mna nchi kubwa mithili ya ukiunganisha Uganda, Rwanda na Kenya na yote ina rotuba kila mahali, hivyo taarifa za nyie kufuata mahindi na kuwabembeleza Malawi wawauzie ni aibu isiyo na kifani.

Sisi tuna nchi ndogo, eneo kubwa kame lakini tuna hela, sasa nyie maskini bila hela mkikosa mahindi inakua balaa.
 
Heading inasema mlifuata haisemi mlinunua maana hatimaye inafahamika mlinyimwa.
Hivyo hicho kisa cha nyie kufuata mahindi kimya kimya ni wazi mlikua na upungufu pamoja na liinchi lote hilo ardhi kubwa hata hamna aibu.
Sasa hela hamna maana nyie ni nchi maskini zaidi ya Kenya sasa jeuri au uwezo huo wa kununua mahindi kama sisi mumetoa wapi.
Sasa kama kinapatikana cheaper huko, nyinyi mna nchi kubwa kushinda malawi lakini mnashindwa kuproduce chakula cha kuwatosha and very quick to call us lazy.
 
Sasa kama kinapatikana cheaper huko, nyinyi mna nchi kubwa kushinda malawi lakini mnashindwa kuproduce chakula cha kuwatosha and very quick to call us lazy.

Malawi yote ina rotuba hawana eneo kame kama sisi ambapo tuna 70%, halafu sisi tuna hela nyingi za kununua mahindi na tunazalisha mazao yenye hela.
 
Nyie kuwa na upungufu wa chakula ni aibu na ishara ya uzembe uliokithiri maana mna nchi kubwa mithili ya ukiunganisha Uganda, Rwanda na Kenya na yote ina rotuba kila mahali, hivyo taarifa za nyie kufuata mahindi na kuwabembeleza Malawi wawauzie ni aibu isiyo na kifani.

Sisi tuna nchi ndogo, eneo kubwa kame lakini tuna hela, sasa nyie maskini bila hela mkikosa mahindi inakua balaa.
Hahahha mna eneo dogo lakin kila siku mna njaa polen
 
Malawi yote ina rotuba hawana eneo kame kama sisi ambapo tuna 70%, halafu sisi tuna hela nyingi za kununua mahindi na tunazalisha mazao yenye hela.
Leta evidence ya hiyo 70% bwashee.
 
Leta evidence ya hiyo 70% bwashee.

Hebu check hii ramani hapa chini yaani arid, semi-arid na very arid
Kama hatungekua tunatumia akili kubwa tungeishia kuwa omba omba, lakini la kushangaza sisi ndio uchumi mkubwa ukanda wote huu hadi tumewashinda miinchi mikubwa kama DRC na Tanzania zenye rotuba kila eneo. Tunajituma balaa, mithili ya mchwa, na bado...

Fig-1-Agro-climatic-zones-of-Kenya-Table-3-provides-information-on-historical-natural.png
 
Hiyo sio 70%, licha ya hivyo, ardhi yenu yenye rutuba bado ni kubwa kushinda Malawi na Israel, na bado hamjitoshelezi mnaenda kwao.
Tatizo mnajifunga macho hamtaki admit tatizo, wingu la maendeleo ya kwenye makaratasi linawapumbaza ilhali wananchi asilimia kubwa sana wapo kwenye lundo la shida na umaskini.
Shauri zenu
 
Hujui kusoma ramani vipi? Jumuisha arid + semi arid + very arid utaelewa.
Kumbuka pamoja na kuwa na eneo ndogo kwa ajili ya ukulima sisi tuna wakimbizi wengi sana kutokea mataifa kadhaa lakini tunawalisha wote.
Cha msingi tumewekeza kwenye ulima wa mazao yenye kutuletea hela ili tununue mahindi na mambo mengine.
 
Traders defy cereal export ban, but 104 trucks seized
DAILY NEWS Reporter
30 June 2017

Share This
AddThis Sharing Buttons
Share to FacebookShare to TwitterShare to Google+Share to LinkedInShare to PrintShare to Email

BARELY three days after Prime Minister Kassim Majaliwa issued a directive banning export of food crops, the level of defiance among farmers and traders has remained astonishingly high as police in Kilimanjaro had, by yesterday, seized at least 104 trucks smuggling maize into neighbouring Kenya.

10 Comments
And, this at a time when the government has reiterated that the ban on cereal exports remains intact and that whoever defies it would face the music.

But reports reaching the ‘Daily News’ yesterday from Kilimanjaro showed that despite the ban issued by the Premier on Monday during an Eid Baraza, many traders and truck drivers are said to have contravened it -- and now find themselves in trouble.

Still worse, it’s for the very crop – maize -- that Premier insisted that even if permits are issued, the crop should be processed before export, that traders have allegedly carried on ‘exporting’ through illegal Rombo district border posts.

Yesterday, Kilimanjaro Regional Commissioner Ms Anna Mghwira told reporters that transportation business was now carried out at night. The ‘Daily News’ has learnt that even after 103 trucks were seized and more than 100 people detained, some went along last Wednesday night and were in line to smuggle out of the country some 100 bags of maize that were packed in a Scania truck.

The Scania was seized at the small township of Himo after police officers on patrol became suspicious. Some traders, drivers and their assistants were arrested and then detained at different police stations across Kilimanjaro region, even as detectives carried on grilling tasks for the suspects before decisions were made to issue any statement on the matter.

RC Mghwira reiterated what the PM had said during Eid-el-Fitr Baraza on Monday morning, that there were collusions between traders and some police officers in the maize export racket, with Ms Mghwira saying the region had run surpluses in excess of 62,000 tons in grains.

However, she noted that Rombo district wasn’t facing any food shortage; so there was no point for trucks to be carrying such huge amount of grains to the district.

In Dodoma yesterday, Premier Majaliwa told Parliament that many parts of the country did not have good harvests last year and that allowing food exports was a risky business.

“I said this during Eid (celebrations) in Kilimanjaro … that we still need food in our country because some regions experienced drought and poor production during the last season. Therefore it is our responsibility as a government to maintain our stand by banning food exports,” he said.

He added that those who wish to export food must go through procedures that include obtaining a special permit from the Ministry of Agriculture, Livestock and Fisheries.

“… those who want to export food will not be allowed to sell cereals, they will be required to seek for a special permit from the Ministry of Agriculture, Livestock and Fisheries; even then, they will still have to ‘export flour’ instead of whole maize,” the Premier stressed.

Premier Majaliwa gave kudos to Kilimanjaro RC, Ms Anna Mghwira for standing firm and stopping exportation of food from the country. “Kilimanjaro RC is doing a great job, so far a lot of trucks have been seized in the region,” he said.

The premier added that the trucks that were seized would remain at police stations while the maize consignment is preserved at the National Food Reserve Agency (NFRA).

He asked the public to support the government by reporting any movements of people who try to smuggle food. “We still need food in this country, we must do everything within our powers to preserve food,” he said.

Traders defy cereal export ban, but 104 trucks seized
 
Haha Tz kama mmefuata mahindi mmefuata tu, acheni kuruka ruka hapa.
 
Back
Top Bottom