Wapendwa habari ya Eid... mwenzenu kwangu haijakaa njema sana ,nina maumivu, jana jioni si nikaenda zangu kufanya booking ya chumba ili Eid hii tukajifungie na "mupenzi" Zahara white... kila guest house nikigusa naambiwa watu wamefanya booking since two weeks ago...!? khaa... nikaambiwa labda nikajaribu jumatatu... Yaani hapa sijui hata nifanyeje wajameni.. na nilikuwa nimevitunza mwezi mzíma huu....