MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Hhmmm. . .yamekukuta yepi tena mami?
Ubaya ni kwamba wote wanakua wamechafuka . Yani mke nae analalia uchafu wa kimada sijui ndio hawara. HASARA TUPU. Alafu hii habari ya kusema eti 'mume wangu ananipenda na hataki kunipoteza ndo maana aliniletea mwanamke mwingine chumbani kwetu, kwenye kitanda tunacholalia pamoja wakati sipo' sikubaliani nayo. Unless kupenda kunawezekana bila heshima. Yani mtu anakupenda ila anakudharau. . .
Again. . .kama unaweza ukampenda mtu na bado ukamdharau basi wana mapenzi mengi tu kwa wake zao, hivyo wasilalamike watulie tu maana wanapendwa. Kuchafuliwa shuka kitu gani bana kama mume anakupenda. . .si utanunua mpya?Hivi unajua kuwa wanamme wengi kichwa kidogo kikiwa bize kichwa kikubwa kinashut down?
Okay, it's a cheap excuse lakini ndio hali halisi, sasa wewe uliyeletewa ndani ndi uamue kama una kifua cha kubeba.
Mwanamme anaweza leta mwanamke ndani lakini si kwamba hampendi mkewe ila ndo keshamleta hawara ndani.
Again. . .kama unaweza ukampenda mtu na bado ukamdharau basi wana mapenzi mengi tu kwa wake zao, hivyo wasilalamike watulie tu maana wanapendwa. Kuchafuliwa shuka kitu gani bana kama mume anakupenda. . .si utanunua mpya?
Alafu usisahau kwamba aloletwa anaweza hata asijue jamaa kaoa.
Mwanamke anapokuja hapo kwako anapachukulia kama gesti tu.
Unadhani kwa nini akuchukie wakati anakuibia? Wakati mwingine wala hata hakujui.
Mlaumu mmeo aliyekula kiapo halafu analeta hawara ndani.
Natamani wanamme waje kwenye huu uzi halafu wawe wawazi kusema ni nini huwa kinawapata.
But watatuzungusha tuu na siasa.

Dah! kuna watu wana mioyo ya chuma..... Haogopi? Sleeping with him is another matter, kwenda kujivinjari kwenye kitanda cha mkewe ni kujitakia nuksi na kifo aisee.... Kuna mambo mengine hayatakiwi kuvukika. Hilo ni moja wapo.
Enways ogopa sana mwanaume ambae ana guts za kukupeleka kitanda ama nyumbani kwa mkewe kulala na wewe, hata ile tu kuwakutanisha na kuwatambulisha. Sema tu wanawake tupo so selfish na kila mmoja hutaka kujiona ni wa maana kuliko mwanamke mwenzie hata ambapo papo wazi. Huwezi shindana na nafasi ya mke hio ni period! Hata ufukute vipi... Labda awe mwanaume ambae hana heshima kwa wanawake wote au wawe na personal issues.
Kongosho my Sisy, nitakuelewa iwapo umebebwa kutokea Corner Bar Ambiance pale, Ohio au Q Bar..... but kwa mwanamke ambaye umekuwa na hopes kuwa one day, only one day utakujammiliki huyu mwanaume kwa kweli ni kujishushia hadhi.......... ukalalie kitanda ambacho mwenzako amekuwa akipewa na kutoa starehe hapo.........and who knows may be the same sheets were used the night before or two to three hours ago????
I know wanaume hawajali probably they do not even recognize au notice that but wewe kama mwanamke (ndio haikuexempt kwenye kundi la vyangu kwa kutembea na mume wa mtu budt Gossssh!!akulete nyumbani, chumbani, kitandani and probably kwenye same sheets alizolalia na mke wake!!!
Wanawake wenzangu,
Siku hizi kutembea na mume wa mtu ni jambo la kawaida lakini ndio akulete nyumbani, ulalie the same bed anacholalia na mkewe?? That is too much akhaa!!
Hebu tujiulize kwa nini hakuleti nyumbani hapo wakati mkewe yupo? Jeuri hiyo hana kwa kuwa- ANAMPENDA MKEWE na HAYUKO tayari kumpoteza kwa sababu YAKO. Wewe utabakia kuwa mwanamke wa kupoza MHEMKO wake siku zote na katu hutoifilia hadhi ya MKEWE.
Tahadhari, Chukua Hatua!