Khaa! ..Hebu na Tujitambue...


Unaona Da Mkubwa......... Hapo kwenye red hapo ndipo ninaposhindwa kupaelewa dada yangu. Eti Unampenda shemeji yangu BUT WITH RESERVATION??? meaning ikitokea ameteleza utajustify kuwa ulijua au ulitegemea??
 
Suala si kuwa wanawake tunaamini hivyo bila evidence. Tunakaa na wanaume na kujadili haya mambo na wenyewe wanakili kuwa kuvumilia kama umeshaoa ni ngumu

Hivyo jua waliotuaminisha haya ni wanaume wenyewe tunao interact nao.

Kwa maneno haya au maandiko haya Da Mkubwa ni kuwa tunarudi kule kule kuwa kwa kuwa tumelelewa, na kuaminishwa kuwa it is impossible kwa Mwanaume kuwa Saint, so kucheat ni hulka ya mwanaume? Je tuikubali hali hiyo?? Kama tunafikia hatua ya kupenda with reservation basi ni wazi kama alivyosema Soulmate wangu kuwa tunajikubalisha baadhi ya matendo mabovu ya waume zetu!

Na je ni kweli hatuweziibadilisha hii? Maana inawezekana kuamini kwetu na kujikubalisha kwetu kuwa mwanaume haweziishi bila kucheat ni sie tunawapa wenyewe screw drivers!!

Ifike sehemu tuseme NO, ukicheat (kama mie sicheat) sitokuadhibu kwa kucheat kama wewe wala kukaa kimya na kunyenyekea bali ni kukutema kimoja!!( Hapa mtaniuliza nitatema wangapi, as long as I feel kuwa hakulithamini penzi langu)

Mimi nilicheatiwa, nikaonyeshwa tena kwa kashfa za wazi zile za ..wakiitwa wanawake nawe utatoka? ? (hapa nkajiuliza kama si mwanamke ilikuwaje ukanioa!!) ...mwanamke usiejua kuzungusha kiuno (as if aliponioa ilikuwa najua kukizungusha!!) nikachukua darasa maalumu la kiuno, mtoto wa kike wapi!
Ilinichukua muda kuitambua thamani yangu na kuujua wajibu wa mwenzangu kunithamini, nikafunguka, nikajitambua, ajabu sasa ananiona wa thamani na am sorry kibao!! Kuna anayeambua thamani ya penzi langu, kama ni kuzungusha kiuno, atanisaidia kunifundisha, atanipa nafasi ya kujieleza wapi napenda wapi sipendi na kwa nini............................nafasi ambayo katu nisingeipata kama singesema no to the first!
 
Kwenye hii case wa kulaumiwa ni mwanaume na si mwanamke!!
Huwezi jua huyo mwanamke kapewa maelezo gani na mumeo..what if kama alimwambia yupo single?au vipi kama alimwambia amekudivorce?wanaume ni wajanja sana wakitaka kitu wako tayari kudanganya kwa lolote ili wakipate..ukiona mumeo kafanya hivyo usijidanganye kua unapendwa au unaogopwa!wala usikimbilie kugombana na mwanamke mwenzio..unatakiwa kudeal na mumeo cause huyo ndio mwenye matatizo!
 

What if aloletwa hapo ni best friend wako anayejua fika kuwa mwanaume huyo ameoa na yuko intact na ndoa yake?
 
MwanajamiiOne haya mambo ni gumu kusema 1+1 = 2

Case za cheating zinatofautiana. Kwa hiyo ni ngumu kusema kuwa solution ni kudai talaka kwa kila mwanamke anayechitiwa.

Mfano mimi niko mbali nakamilisha malengo yangu na ya familia yetu kwa ujumla; sasa nisikie mume kachiti tena kisiri siri ili kutuliza mhemko unadhani ntamuacha; thubutu.

Ila akiniletea dharau sina uvumilivu aisee. Ntamsamehe kwa kuwa situation imemfanya afanye alivyofanya; ila sijuhi aseme sijuhi kufanya nini, sijuhi nini; hapo sidhani kama kuna msamaha.

Ndio maana nkasema nimekubali ulivyosema kuna love na mihemko. Mimi ndio pendo lake kama kuna mwingine ni mhemko. Ila niki prove otherwise basi talaka.



 
What if aloletwa hapo ni best friend wako anayejua fika kuwa mwanaume huyo ameoa na yuko intact na ndoa yake?

kama ni best friend wako then wote wana matatizo!your friend ana part ya kulaumiwa na mumeo pia ana part ya kulaumiwa lakini twende mbele turudi nyuma mumeo ndo ana matatizo zaidi kwa sababu ndio uliyekula nae kiapo cha ndoa na sio best friend,mume akishafika stage hiyo hafai mjini wala kijijini ni dharau isiyo kua na mpinzani!
 

Kanuni ya maumbile inasema,unachokifikiri na kutarajia hutoke kweli!Ni kwanini uwaze mabaya?
 
nyumba kubwa, shikamoo!
 
Last edited by a moderator:

Wewe hukumbwi na mihemko? au umeumbwa tofauti?? Je ni kweli mihemko haidhibitiwi kwa njia nyingine zaidi ya kucheat Da mkubwa?
 
Nyumba kubwa sikia,umemwamini aliekueleza hayo na umekutana na habari hizo.Leo nakudhibitishia ni uongo,badili mtazamo na namna unavyofikiri halafu uone.Kama aliekuambia ni mumeo very sory but na wewe una tatizo aidha kwenye matendo yako au kufikiri kwa sababu kinachowafanya muwe pamoja ni kuvutana kwenu kunakotokana na matendo yenu au kufikiri kwenu kunakofanana.Kama aliekuambia hayo ni mtu tu usimuamini kwani nae atakuwa na matatizo niliyoeleza hapo juu!
 

Purple aksante tukopamoja mpaka hapo but je bado unanishawishi kutomchukulia hatua ipasayo shoga yangu ambaye ameamua kujitoa ufahamu na kuja kugawa uroda juu ya kitanda changu??
 
Purple aksante tukopamoja mpaka hapo but je bado unanishawishi kutomchukulia hatua ipasayo shoga yangu ambaye ameamua kujitoa ufahamu na kuja kugawa uroda juu ya kitanda changu??
MwanajamiiOne, mimi nadhani kama shoga kaamua kutembea na mume wangu, nadhani wamedhamiria, na kwamba hawaniogopi kabisa............. kwa maana hiyo hata kuongea naye naona napoteza muda wangu.
kwa huyo husband, kama kafikia hatua ya kutembea na rafiki yangu, kwa kweli nitajua kuwa hana mpango na mimi....... hapo ni kuchapa lapa tu........... maana huyo siyo binadamu wa kawaida, akianza na rafiki zangu anaweza hata kwenda kwa ndugu zangu. kuna kipindi kaka yangu aliwahi kunilalamikia kuwa namletea rafiki zangu nyumbani ambao ni warembo na namtambulisha kuwa ni rafiki zangu kwa hiyo ni wadogo zake, at that time alikuwa hajaoa, lakini kwa kuniheshimu, alikuwa anawaheshimu sana rafiki zangu, na hakuwahi kuwachezea rough
 
Last edited by a moderator:
Mimi naufahamu mwili wangu na naweza ku generalize with confidence kwa wanawake wote tokana na wale niliopata kuongea nao na kusoma. Mwanamke hiyo kitu si priority kwamba ukikosa sijuhi uanze kuhaha unatafuta hovyo. Na knowledge yangu inanambia wanaume wameumbwa kimyemko ndio maana wanapiga mabao ndotoni. Lol.
Kwa mwanamke sex inatumika kutafuta love, love ndiyo priority; kwa wanaume sex na love ni vitu viwili tofauti.

Sasa ukiniuliza mbona wanawake wanachiti; naweza sema for sure wanatafuta love; mwanamke anayehisi anapendwa hawezi chiti. Kama hawatafuti love basi wanatafuta pesa au vyeo, but not sex for the sake of sex. Na wakati mwingine ni ujinga wa kujiweka karibu sana na wanaume ambao kwa kuwa wao sex ni muhimu wanaanza kukubembeleza ili wakutumie kupunguza mihemko yao. Hivi unajua wanaume wenye wake tongoza zao; they rarely use the word I love you. Ni mhemko tu.


Wewe hukumbwi na mihemko? au umeumbwa tofauti?? Je ni kweli mihemko haidhibitiwi kwa njia nyingine zaidi ya kucheat Da mkubwa?
 
Eiyer nilikuuliza kimtindo; Umeoa??? Kama umeoa ntaendelea kufanya research nione kama kuna wengi waliooa wana mtazamo kama wako. Kama hujaoa hutaweza kujua kwani vijana wengi ni waaminifu kwani hawajazoea kupata chakula cha usiku that often.

 

Wanawake hawaoti??

Tunarudi pale pale dada kuwa kucheat wanaume wameumbiwa kwa ksababu ya mihemko yao. Na hapa tunakuwa tunakubaliana na John Gray kuwa mEn are from Mars and Womenfrom Venus..........kuna sehemu John alisema kuwa wanaume wameumbwa kwa nature ya kuwa ma-explorers.........hata uwape dose ya kutwa mara tatu bado watataka kuvumbua kilichofunikwa na ile skirt ya mwanamke jirani/ wa ofcn au mpita njia!

Na kama ni hivi basi tunarudi kule kule kwenye thread yangu ya zama hizo ya Are We Fighting the lost Battle ?
 
Tunachopigania ni wasichukuliwe jumla. Lol.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…