nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Tunachopigania ni wasichukuliwe jumla. Lol.
Soulmate, I am sorry for that what happened to you. Ninaomba nikurudishe nyuma ungereact vipi kama ungemkuta huyo mwizi hapo nyumbani kwako juu ya kitanda chako. Ilhali we ulikuwa wajua kuwa mwenzi wako ni mwaminifu kwako na wala hukuwahihisi kuwa anacheat?
Yes kuna ile ya pengine aliambiwa hapa ni kwangu na niko single but what if alijua fika (pengine ni rafiki yenu wote wawili anayewafahamu fika).
Maybe am missing a point here but sielewi!! Yes Ex wako anakosea kwa kuwa hakuthamini kitu ambacho kinawezapelekea hata huyo aibaye kutokukuheshimu but kuja na kluspend nyumbani kwako! I find it too much aisee!
......mwanajamiiOne, .....jana nilipokupa pole Dark City aliniuliza pole inatosha nini katika haya.
.......aliyelazwa kitandani mwangu na aliyekuwa mke wangu alikuwa rafiki yangu. Hakuishia kulala tu, na mimba akampa,....japo mungu si athumani ikaishia kutunga nje ya kizazi (ectopic)
.....mpaka hivi leo, sina kinyongo na huyo jamaa. He was invited na kupewa heshima ajilie atakavyo. Hata ex- wangu nimeishia kumsamehe tu. Kupoteza uwezo wa kuzaa tena si adhabu ndogo kwa mw'mke.
......sijui ningewakuta ningefanyaje, but me being me naamini ningewaacha hapo nikalale hotel. Wakulaumiwa ni mke/mume, ....nilimuamini, hakujiaminisha.
Nimekujibu?
Asprin you have nerves. But mind your senteces someone may fail to understand you............lol hii ya kwako kiboko. Are you real serious saying ukinyimwa utabaka mitetea na mbuzi???????????????My darling and dear obsesd, unawazungumziaje wanawake wanaokubali kumegwa na waume za watu? Mnatulaumu waume wa watu lakini mnasahau kuwa huwa hatuwabaki bali chup.i mwazivua wenyewe ilhali mkijua tuumeoa. Tunyimeni basi tukabake mitetea na mbuzi mee....khaa!
Mbu you are gentleman enough, to me this is unexplainable,.....................................mwanajamiiOne, .....jana nilipokupa pole Dark City aliniuliza pole inatosha nini katika haya.
.......aliyelazwa kitandani mwangu na aliyekuwa mke wangu alikuwa rafiki yangu. Hakuishia kulala tu, na mimba akampa,....japo mungu si athumani ikaishia kutunga nje ya kizazi (ectopic)
.....mpaka hivi leo, sina kinyongo na huyo jamaa. He was invited na kupewa heshima ajilie atakavyo. Hata ex- wangu nimeishia kumsamehe tu. Kupoteza uwezo wa kuzaa tena si adhabu ndogo kwa mw'mke.
......sijui ningewakuta ningefanyaje, but me being me naamini ningewaacha hapo nikalale hotel. Wakulaumiwa ni mke/mume, ....nilimuamini, hakujiaminisha.
Nimekujibu?
Mbu you are gentleman enough, to me this is unexplainable,...............................
but kwakua umeshasamehe how do you find kurudiana na ex wako ili atleast kumsaidia kupoteza mawazo?????????????
God was good kukufanya uwe mbali but huyu mwanaume mwenye ndevu za juu na chini anayekipanda cha mwenzie ana utimamu wa mwili na akili kweli?
anyway najifunza mengi sana ktk haya maisha this is a lesson to treasure
Nyumba kubwa,kwanini ubembeleze kuishi na mwanaume cheater?Ana nini cha maana?Kama kuna wanaume wengi wasiocheat yanini ukae na cheater?Huna sababu ya kuomba asichukuliwe jumla wakati wapo ambao hawatachukuliwa kamwe.Ukisafiri hata 3 years unarudi unakuta coni yako haijalambwa na yoyote,unajilia mwenyewe kwa raha zako.Wanaume wa aina hii ni wengi pia.Huyo wa kuchukuliwa kwa muda na aende jumla!
Nimempenda sana nyumba kubwa............
Mbu, nakugongea likes 400 napenda mwanaume, kama wewe. kwamba at cost utalinda na kutetea penzi lako but if things are not coming unaachia ngazi.....hah? ....kosa la ngapi laachisha mke, au kosa kubwa vipi laachisha mke?.....
Hilo lilikuwa kosa lake la kwanza, nikampa 2nd chance akaharibu kwa kosa jingine, 3rd chance pia, 4th chance, 5th chance, 6th chance....the 7th was the last.
She was my 'angel'....she deserved my forgiveness....lakini hakujali thamani ya penzi langu kwake. What is lost is lost forever. No regrets.
Pamoja na kuwa kinachoniweka kwenye ndoa ni pendo; bado sikubaliani na wewe kuwa watu wawe wanaachika na kuolewa kila mara; maana hao waaminifu wana lebo usoni??? Afu imagine huko niendako kwa second sijuhi forth husband nabebana na wanangu au? Mi nkiaamua kuachika wala sitatafuta huyo faithful. Ndoa itakuwa basi tena kwangu. Nta focus kwenye kulea wanagu kuliko kutafuta wa kunipenda tena.
Mbu, nakugongea likes 400 napenda mwanaume, kama wewe. kwamba at cost utalinda na kutetea penzi lako but if things are not coming unaachia ngazi
My darling and dear obsesd, unawazungumziaje wanawake wanaokubali kumegwa na waume za watu? Mnatulaumu waume wa watu lakini mnasahau kuwa huwa hatuwabaki bali chup.i mwazivua wenyewe ilhali mkijua tuumeoa. Tunyimeni basi tukabake mitetea na mbuzi mee....khaa!