nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Ndio maana wanasema ndoa zinazodumu ni za wale wanandoa ambao naweza kuwaita wako interwoven, kiasi kwanza hakuna changudoa wa aina yoyote hata kama anajua kukata kiuno kama feni anayeweza kuwatenganisha. Maana kinachowaunganisha ni more than sex. Sijuhi umenipata.
Hivi hujiulizi kwa nini kuna watu ni chita lakini uwambii kitu kuhusu wake zao?
Hivi hujiulizi kwa nini kuna watu ni chita lakini uwambii kitu kuhusu wake zao?