Khaa! ..Hebu na Tujitambue...

Nafikiri nia ni kukwepa gharama za GUEST ili kinachobaki
apewe huyo mwanamke.

Pia nasikia eti kupelekwa nyumbani unakuwa umeheshimiwa zaidi kuliko
GUEST
 
Mtu kawezi kumpenda mkewe halafu akafanya uzinzi na mwanamke mwingine!Yoyote anaempenda mkewe atamheshimu na hataweza kumpa haki ya mkewe mwanamke mwingine!
 
Dj BAK
Naomba kudedicate wimbo uitwao 'Joleen' by Dolly Parton to MwanajamiiOne. Nafikiri ndicho anachowasihi wadada wote wanaochukua waume za watu!

Joleen x3
I am begging you please don't take my man.
... You can have a choice of men, but l could never love again, he is the only one for me Joleen....
 
Last edited by a moderator:
Mami ofcourse hamna justification, na ndio maana mwanamke anatakiwa adeal na huyo mvulana alomletea mwanamke mwingine ndani. Yeye ndo wa kulaumiwa, yeye ndie wakuulizwa alikua anafikiria nini na yeye ndio wakuadhibiwa.

Huyu mwanamke yeye yupo pale kwa maslahi yake, hajali hisia wala fikra zako. Hivyo hata kugombana nae ni upotevu wa muda.
 
Mwanamke decent hadi akapendwa atakuwa ameelezwa hali halisi na kama kweli ni decent katu hatokubali kuletwa kwenye kitanda cha mke halali!

so mwanamke 'decent' anayejua jamaa ana mke akipelekwa guest ni poa?
 

Anaefanya uzinzi ni mjinga,lakini anaelipa ujinga kwa ujinga ni mjinga zaidi!
 

Anaefanya uzinzi ni mjinga,lakini anaelipa ujinga kwa ujinga ni mjinga zaidi!
 
Mtu kawezi kumpenda mkewe halafu akafanya uzinzi na mwanamke mwingine!Yoyote anaempenda mkewe atamheshimu na hataweza kumpa haki ya mkewe mwanamke mwingine!

Asante Eiyer.

LIKE. . .LIKE.
 
Last edited by a moderator:
Lizzy,asante pia. . . . . . . . !
 

Kweli kabisa Kaunga,

Kwa mwanamke ambaye katendwa kiasi hicho, ni bora ashughulike na mume wake kwani ndiyo chanzo cha matatizo.

Hata hivyo, huyo mwanamke naye anayekubali si tu kuingia kwenye nyumba ya watu, bali kulala kwenye kitanda chao basi ana matatizo makubwa pia!!

Babu DC!!
 
labda anafata ule msemo usema''kitanda usichokilalia,huwezi kuwajua kunguni wake''
 

Hapo ndipo ninapopenda ,

Hapa siongelei yale ninayoweza kuyafanya bali nakwepa kuingia kwenye mtego wa kutoa hukumu upande mmoja!! Kwa upande wangu, siwezi kufanya kitu kama hicho ila watu wanaodiriki kufanya hivyo ni bora tuwatazame kwa jicho la kiutu uzima!

Basically, wote wanaodiriki kufanya mambo kama haya hawawezi kuitwa tena binadamu ambao ni wazima...!!

Babu DC!!
 
mmh hatari
 
Ninawashukuru wote kwa kurespond kwa namna mlivyorespond........ninaheshimu mawazo yenu na ninakubaliana na nyie kuwa wa kudeal naye ni MUME aliyekula kiapo. Ni kweli kabisa LAKINI kama activist wa haki na heshma ya Mwanamke, nikitaka kuraise awareness juu ya haki na heshma ya wanawake niegemee upande gani?

Mie mtazamo au side yangu iko kwa mwanamke aliyeletwa nyumbani, na si kwa mke aloibiwa penzi. Kwa nini kama mwanamke "decent" nikimaanisha si changudoa na wala hukuamua kuwa na huyu mtu kama mapozeo, kwa nini ukubali kutumiwa? ........................ kama kweli mwanaume huyo anazo guts akupeleke nyumbani kwake wakati mkewe wa ndoa yupo basi! Otherwise ni kujikubalisha kuchezewa na kutumiwa!

Kuna waloniuliza why sipambani na mume badala ya the Other Woman, yes ni kweli wa kupambana naye ni mume kama niko selfish (nia yangu ni kumprotect Mume wangu na ndoa yetu ambayo yeye mume hajaithamini) But kama am in pro- Sisterly love.kwa nini niruhusu mwanamke mwenzangu achezewe??

Sawa chezewa kwa kupelekwa hotelini/guest houses but kuletwa nyumbani kwa mwanamke mwenzio, tena akiwa hayupo???? I would give the credict kuwa wapendwa kidhati iwapo utapelekwa wakati mke wa ndoa yupo, then would mean that the man amekuchoose wewe instead of Madame and that will give you a bit of credit iwapo huko kibiashara zaidi
 

Kwanini umeuliza hivyo Kongosho?

Kama binadamu anaweza kumpenda mnyama (mfano wa wazungu na pets), unadhani kuna tatizo gani kumpenda (kuwa na upendo unaoelekea kwenye mapenzi) na mwanamume ambaye kaoa au ambaye si mume wako?

Hilo linatokea sana ila binadamu anatofautiana na wanyama wengine kwani kapewa uwezo wa kutumia busara kupima upepo kabla ya kuchukua maamuzi. Ndiyo maana, siyo wote tunaohisi kuwapenda tofauti na wake/waume zetu tunasonga mbele na kuwafanya wapenzi wetu!!

Babu DC!!
 
Mtu kawezi kumpenda mkewe halafu akafanya uzinzi na mwanamke mwingine!Yoyote anaempenda mkewe atamheshimu na hataweza kumpa haki ya mkewe mwanamke mwingine!


Theoretically YES!!
 
Anaefanya uzinzi ni mjinga,lakini anaelipa ujinga kwa ujinga ni mjinga zaidi!


Katika dunia hii ya akina Bill Clinton, watu wasio wajinga wapo kweli?

Hao wajinga zaidi naamini ni wachache kwani siwezi kuwa mmoja wao!!

Babu DC!!
 
Again MwanajamiiOne
Kwanini unafikiri mwanamke ndiye anachezewa na si mumeo? Bila kuelewa thinking ya hao OW uactivist wako hauwezi fanya kazi.

Best wishes katika kumpeotect mumeo kwa kuplead with 'the Joleens'.

Dark City
Nakubaliana nawe kuwa huyo OW anakosea kuingilia ndoa ya watu; but as a wife, what can u do? Yes waweza plead naye akaacha lkn mumeo akatafuta mwingine na mwingine na mwingine. What a hell of work utakuwa nao ya kuwabembeleza au hata kuwashurutisha hao OW wasikuibie mume?

Kwa mtu kama mimi, nadeal na root au shina la matatizo; (mume) n if l succeed then nimemaliza!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…