Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
Wanawake wenzangu,
Siku hizi kutembea na mume wa mtu ni jambo la kawaida lakini ndio akulete nyumbani, ulalie the same bed anacholalia na mkewe?? That is too much akhaa!!
Hebu tujiulize kwa nini hakuleti nyumbani hapo wakati mkewe yupo? Jeuri hiyo hana kwa kuwa- ANAMPENDA MKEWE na HAYUKO tayari kumpoteza kwa sababu YAKO. Wewe utabakia kuwa mwanamke wa kupoza MHEMKO wake siku zote na katu hutoifilia hadhi ya MKEWE.
Tahadhari, Chukua Hatua!
Ninawashukuru wote kwa kurespond kwa namna mlivyorespond........ninaheshimu mawazo yenu na ninakubaliana na nyie kuwa wa kudeal naye ni MUME aliyekula kiapo. Ni kweli kabisa LAKINI kama activist wa haki na heshma ya Mwanamke, nikitaka kuraise awareness juu ya haki na heshma ya wanawake niegemee upande gani?
Mie mtazamo au side yangu iko kwa mwanamke aliyeletwa nyumbani, na si kwa mke aloibiwa penzi. Kwa nini kama mwanamke "decent" nikimaanisha si changudoa na wala hukuamua kuwa na huyu mtu kama mapozeo, kwa nini ukubali kutumiwa? ........................ kama kweli mwanaume huyo anazo guts akupeleke nyumbani kwake wakati mkewe wa ndoa yupo basi! Otherwise ni kujikubalisha kuchezewa na kutumiwa!
Kuna waloniuliza why sipambani na mume badala ya the Other Woman, yes ni kweli wa kupambana naye ni mume kama niko selfish (nia yangu ni kumprotect Mume wangu na ndoa yetu ambayo yeye mume hajaithamini) But kama am in pro- Sisterly love.kwa nini niruhusu mwanamke mwenzangu achezewe??
Sawa chezewa kwa kupelekwa hotelini/guest houses but kuletwa nyumbani kwa mwanamke mwenzio, tena akiwa hayupo???? I would give the credict kuwa wapendwa kidhati iwapo utapelekwa wakati mke wa ndoa yupo, then would mean that the man amekuchoose wewe instead of Madame and that will give you a bit of credit iwapo huko kibiashara zaidi
Hhmmm. . .yamekukuta yepi tena mami?
Ubaya ni kwamba wote wanakua wamechafuka . Yani mke nae analalia uchafu wa kimada sijui ndio hawara. HASARA TUPU. Alafu hii habari ya kusema eti 'mume wangu ananipenda na hataki kunipoteza ndo maana aliniletea mwanamke mwingine chumbani kwetu, kwenye kitanda tunacholalia pamoja wakati sipo' sikubaliani nayo. Unless kupenda kunawezekana bila heshima. Yani mtu anakupenda ila anakudharau. . .
Wanaume ndo wajiheshimu na wawaheshimu wake zao.......
What if kama huyo apelekwae hajali whatever the case is.........mke or mpoza mihemko???
Hivi unajua kuwa wanamme wengi kichwa kidogo kikiwa bize kichwa kikubwa kinashut down?
Okay, it's a cheap excuse lakini ndio hali halisi, sasa wewe uliyeletewa ndani ndi uamue kama una kifua cha kubeba.
Mwanamme anaweza leta mwanamke ndani lakini si kwamba hampendi mkewe ila ndo keshamleta hawara ndani.
Again. . .kama unaweza ukampenda mtu na bado ukamdharau basi wana mapenzi mengi tu kwa wake zao, hivyo wasilalamike watulie tu maana wanapendwa. Kuchafuliwa shuka kitu gani bana kama mume anakupenda. . .si utanunua mpya?
Alafu usisahau kwamba aloletwa anaweza hata asijue jamaa kaoa.
Again MwanajamiiOne
Kwanini unafikiri mwanamke ndiye anachezewa na si mumeo? Bila kuelewa thinking ya hao OW uactivist wako hauwezi fanya kazi.
Best wishes katika kumpeotect mumeo kwa kuplead with 'the Joleens'.
Dark City
Nakubaliana nawe kuwa huyo OW anakosea kuingilia ndoa ya watu; but as a wife, what can u do? Yes waweza plead naye akaacha lkn mumeo akatafuta mwingine na mwingine na mwingine. What a hell of work utakuwa nao ya kuwabembeleza au hata kuwashurutisha hao OW wasikuibie mume?
Kwa mtu kama mimi, nadeal na root au shina la matatizo; (mume) n if l succeed then nimemaliza!
what! ananipenda halafu alete hawara yake ndani! hapana aisee...
Wanawake wenzangu,
Siku hizi kutembea na mume wa mtu ni jambo la kawaida lakini ndio akulete nyumbani, ulalie the same bed anacholalia na mkewe?? That is too much akhaa!!
Hebu tujiulize kwa nini hakuleti nyumbani hapo wakati mkewe yupo? Jeuri hiyo hana kwa kuwa- ANAMPENDA MKEWE na HAYUKO tayari kumpoteza kwa sababu YAKO. Wewe utabakia kuwa mwanamke wa kupoza MHEMKO wake siku zote na katu hutoifilia hadhi ya MKEWE.
Tahadhari, Chukua Hatua!
Wanawake wenzangu,
Siku hizi kutembea na mume wa mtu ni jambo la kawaida lakini ndio akulete nyumbani, ulalie the same bed anacholalia na mkewe?? That is too much akhaa!!
Hebu tujiulize kwa nini hakuleti nyumbani hapo wakati mkewe yupo? Jeuri hiyo hana kwa kuwa- ANAMPENDA MKEWE na HAYUKO tayari kumpoteza kwa sababu YAKO. Wewe utabakia kuwa mwanamke wa kupoza MHEMKO wake siku zote na katu hutoifilia hadhi ya MKEWE.
Tahadhari, Chukua Hatua!
Aksante Lizzy
Ni kweli yapo mengi lakini nakataa kuamini kuwa kuna any justification ya kucheat openly kiasi cha kuleta nyubani, chumbani, kitandani, kwenye shuka langu. NO MATTER WHAT I HAVE DONE, ndio ulete kitandani?? UMENICHOKA na HUNIHITAJI TENA so SITEGEMEI UNIBEMBELEZE wala KUNIOMBA MSAMAHA zaidi sana unambie...................HAYA NADHANI UMENIELEWA FUNGASHA KILICHO CHAKO SEPA.
mi naona tabia ya kuchukua wake\waume wa wa2 ife kabisa.
.... MwanajamiiOne pole Soulmate, Mungu atakulipia π
.....π± .....mtoto wa kike hebu punguza presha bana, kunywa funda mbili tatu za maji baridi kisha uyarudie kinyume nyume uloyatamka (yaandika)....
Wajikubalisha na matokeo kiurahisi namna hiyo? Pole....halafu mbona wamtimua na mabegi yake? Ingekuwa ni nyumba yake ungeondoka? .....Soulmate, hasira hasara....mdomo huumba. Kaeni chini myazungumze, labda 'akili si zake'
Ni wewe kweli swahiba wangu Mbu,
Binafsi sidhani kama hapa kunakuwa na nafasi ya kuzungumza tena...Watazungumza nini wakati jamaa keshaamua kujilipua kama Al Qaeda?
Babu DC!!